42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Dah kocha hajielewi wallah....
Sub za hovyo sijapata kuona.
Dah kocha hajielewi wallah....












Yani acha 2 bro... hii jamaa ni kilaza wa haja... tuna point gani za kujiamini na hawa watoto? Hivi ana jielewa kweli?Dah kocha hajielewi wallah....
Sub za hovyo sijapata kuona.
Potato ni bonge moja la kocha ni vile tu wachezaji wengi hawaelewi english yake, inabidi awe anawafundisha kibubububuDah hili li potta ni litakataka ambalo linapaswa lisagwe kwenye mashine ya kukobolea mpunga






