NDIO karudia ujinga wake , first team huwa haibadilishwi kindezi hivyo , timu ilishaanza kuclick pole pole ye anaingiza galasa PullisicPotter anapendaga lawama zisizo za msingi, analazimishaga Rotation za ovyo ovyo.
Pulisic ni mtumishi hewa anampanga wa nini.
Weka wakina Mudryk, Madueke waendelee kuingia kwenye mfumo na kuzoea ligi.
Labda anashinikizwa na tajiri miluzi ampange first 11 huyo MmarekaniPotter anapendaga lawama zisizo za msingi, analazimishaga Rotation za ovyo ovyo.
Pulisic ni mtumishi hewa anampanga wa nini.
Weka wakina Mudryk, Madueke waendelee kuingia kwenye mfumo na kuzoea ligi.

Kafie mbeleCheltako anainamishwa![]()