Madrid wamekwisha safari hii hawaponiHahah kwisha sisi, Tumepewa real madrid.
Madrid wamekwisha safari hii hawaponiHahah kwisha sisi, Tumepewa real madrid.
Acha wivu brotherChelshit sina wasiwasi mkimtoa Madrid. Semi-finals mnakutana na City / Bayern. Lazima mmalize msimu bila kombe.![]()

Tukimtoa madrid hakuna Kengemaji atakatiza mbele yetu apone.Chelshit sina wasiwasi mkimtoa Madrid. Semi-finals mnakutana na City / Bayern. Lazima mmalize msimu bila kombe.![]()
Sema mi nataka mumtoe Madrid, anasumbua sana Europe. Hatua itakayofuata najua itakuwa ni zamu yenu kutolewa nyie. 😆Tukimtoa madrid hakuna Kengemaji atakatiza mbele yetu apone.
Sisi ni finalist.
Nitafurahiaje kuona Chelsea mkiwa na UCL sawa na sisi. 😁Acha wivu brother![]()
Waje tu hao sisi sio LivakukuHAYA UCL MMEPEWA READ MADRID
Baada ya kupakatwa na Spotin cp ndio umekuwa mjinga namuna hii?Next season mtakuwa hatari. Ila season hii tuacheni timu zote tuwachape mpaka turidhike
Wewe arse8 huyiogopi Chelsea wewe?Watu mmetumia £500M kusajili kisha mnasema timu yenu mbovu
Arteta miaka yake yote hiyo hajafikia matumizi makubwa kiasi iko
Binafsi nasimama na Potter aongezewe mkatabaView attachment 2550181
Kwa mupira alocheza madirid kwa Livakuku ni wazi kwamba akija kucheza na sisi hivyo Basi ukuni utamuhusu
Jamaa ana bahati kaikuta timu imeshajengwa na Potter. Na ndio kinamsumbua Potter saivi mentality yake ipo kujenga kutokea chini ila sasa kinachompa pressure timu inahitaji matokeo ya haraka. Ila changamoto nyingine ya Potter haeleweki anataka kucheza mpira gani maana mpaka sasa keshakuja na formations za ajabu ajabu tofauti.lembu huyu kocha ndiye mnataka kumfananisha na kina 7+3hag?
Kama Kuna kocha hatari epl asipewe pesa Basi ni Di zerbi atatoa vipigo Sana
Guardiola: "We’ve an Italian coach in Premier League, De Zerbi… he’s changing many things in the English football. He’s producing wonderful football", tells @SkySport#BHAFC
"People said: you can’t play the ball from defense in PL. He’s doing that, and... incredibly well".
Wanachelsea hii njia nyeupe mpka fainal