Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wachezaji nao wanakua wa hovyo kama kocha wao, goli la pili la spars, mount alifanywa ngazi halafu alitulia kama hajafanyiwa chochote, wakati nahis ile ilikua faulo, kama goli la Trossard lisingekataliwa kama sio yule goli kipa kulalamika.
Ule ugomvi wa Ziyech alibaki mwenyewe, wachezaji wa Spurs walikimbia haraka kumpa tafu mwenzao ila Chelsea walimuacha Ziyech apambane mwenyewe. Hii timu hakuna hata umoja tena. Sijui hao akina Boehly hawaoni haya au wanaona kengeza tu
 
Breaking News!

GRAHAM POTTER STEP DOWN

Chelsea manager has finally stepped down. It has just been announced on Blue Sky news. He stepped down from his car in front of his office to continue his office task.

He is such a hardworking Man.

Thanks you for your attention!!

Trust the process
1677438443278.jpg
 
Nyie cheltako timu imejifia kabisa hata kupiga Picha ya mshikamano kama hii hakuna.

Timu hii bora hata mmpe jonh Terry anaweza kuinyosha wachezaji wenu wamejaa viburi sana.
20230228_203608.jpg
 
The Chelsea squad have their scheduled day off today due to no game midweek.

The Blues will return to training tomorrow to prepare for their clash against Leeds on Saturday.

#CFC

(@Nathan_Gissing)
 
Niwakumbushe kwamba kwa sasa tunao wamiliki wa timu watano (5).

Kwa sasa maamuzi yoyote ya kumfukuza Potter lazima matajiri hao 5 wakae, wakubaliane kwa pamoja na kuja na kauli 1, tofauti na wakati wa Roman Abramovich.

Kwenye makubaliano ya kununua timu, ilisemekana TODDY BOEHLY ndio atakuwa mwendeshaji mkuu wa timu.

Ili hali Clearlake capital Fund wana hisa 60%, na wapo karibu sana kumonitor mwenendo wa timu chini ya EGHBALI.

Kwamba labda inawezekana mpaka sasa hawa Matajiri bado hawajakubaliana kwa kauli moja kumfukuza Potter.

View attachment 2532674
Inategemea na makubaliano au mkataba wa kuendesha timu aliyopewa Boehly. Sidhani kama maamuzi yote lazima wote washiriki. Typical team management activity kama ya kusajili na kutimua mchezaji au mfanyakazi itakuwa kwa Boehly na management team yake na wale wamiliki wengine kama akina elghali wambao wanashiriki kwenye day to day management ya timu.

Kwenye kuymtimua kocha watakaa ni wale walioko kwenye board tu akiwemo Boehly kama president na Elghali kama board member
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom