Kocha tu mfumo wake,Hii Chelsea inamuhitaji mchezaji mwenye pumzi na kasi ya kupelekea timu mbele kwa haraka.
Mchezaji huyo ni KANTE.
Kwamba Arsenyeto mashabiki zake ni mabongolala kiasi hiki mpaka mnashindwa kujua Silva kaumiaje pale?Kazi na umri
Mpumzisheni babu wa watu
Tukipata hata sare ni majaaliwa....Mnaoangalia vip hali huko. Kuna dalili zozote?
Nilisema mapema tu hii ni mechi ya mpira wa miguu kweli? Oneni watu wenu wanapiga ngumi tuHii ni mechi ya mpira wa miguu au rugby? Naona mnapigana makonde tu
We uko mbwinde halafu unaona ile ni red ila walioko White Heartlane hawajaona.Nilisema mapema tu hii ni mechi ya mpira wa miguu kweli? Oneni watu wenu wanapiga ngumi tu
Inakuaje ile sio red?
Tulia wewe bibi wa kihindi. Mnakomaa kukomaza matako kukomaza miguu hamuweziKwamba Arsenyeto mashabiki zake ni mabongolala kiasi hiki mpaka mnashindwa kujua Silva kaumiaje pale?
Kuangalia mechi zetu za sasa ni kama kupoteza mda tu,Sijaangalia mechi miyeyusho kwa muda mrefu