Wakat wa tuchel tulikuwa hatuna strike ila matokeo yalikuwa yanaonekana.Kinachowachanganya ni kwamba mbona mna wachezaji wazuri ila hampati matokeo.
Sasa kuna chances Cheltako walitengeneza lakini the reason hawakuziconvert ni kwavile hawana ST.






but kwa Arsenal hizo back passes hazionekaniki thanks kwa kutupa jorginho (Gold) na kumnununua EnzoTuchel msimu ulivyoanza na yeye alikua anastruggle.Wakat wa tuchel tulikuwa hatuna strike ila matokeo yalikuwa yanaonekana.
Huwez sema 17 umeshinda 2 useme shida ni striker.
Je Area ipi tumeimprove tangu Potter aje??
Nunez, Gakpo, Konate unataka nini tena?Huu usajili mliofanya Chelwowowo ingekuwa tumeufanya Liverpool hakika tungekuwa tunaongoza hii ligi.
Cc OllaChuga Oc Depal
Usajili wa January ni Gakpo. Konate anaenda msimu wa tatu LFC halafu ni injury mda.Nunez, Gakpo, Konate unataka nini tena?
Si mna kocha mzuri sisi kocha hatuna kila mechi anabadilisha kikosiHuu usajili mliofanya Chelwowowo ingekuwa tumeufanya Liverpool hakika tungekuwa tunaongoza hii ligi.
Cc OllaChuga Oc Depal
Mbona pale Brighton alifanya vizuri sana? Au ni pressure ya kufundisha team kubwa?Si mna kocha mzuri sisi kocha hatuna kila mechi anabadilisha kikosi
Mi nadhani ungesema nchi za west zilaaniwe!!Putin alaaniwe milele
Kufundisha team kubwa sio lelemama ndio maana Zidane alitakiwa apewe credit zake pale madridMbona pale Brighton alifanya vizuri sana? Au ni pressure ya kufundisha team kubwa?