Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijaangalia mechi za Chelsea kama Tano nyuma zaidi ya kuangalia highlights tu .ila Leo nimejionea kwa nn timu haipati ushindi

Vijana wahajitumi kabisa hapa Bora mason aingie
Watajitumaje wakat kocha mwenyewe amekaa tu, anakwambia yeye sio shida
 
Kuna ile mchezaji hajatoa assist au kufunga kwa games 7 hua wanamuita 007.

Online Richarlson wanamuita 0024 na bado anapata namba
The name is Bond. James Bond
JamiiForums609188642.jpg
 
Niko kwenye kikao na nafuatilia kwenye streaming text tu
Naona 1-0 na posesion na shots tunazidiwa. Vipi kuna mgomo au Potter ndio basi tena?
 
It is not funny anymore!
Chelsea wanaenda shuka daraja
Tuwaombee warudi haraka EPL
2-0
Harry Kane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom