😀😀😀😀😀Check Noris siku zake zinahesabikaSpurs Unyama sana wanangu
Tajiri still ana imani na Potter so Chelsea fans tulieni
Kama timu unaipenda hata ukijifanya huangalii mechi matokeo utayatafuta tu.Hii Chelsea ni mbovu sana kwa Ulaya, haina tofauti na Tp Mazembe kwa Afrika ambayo imepokea kipigo cha mabao mawili kwa bila dhidi ya US Monastir
Sio season ilopita, almost kila season leo wanapigwa huu ushindi mkubwa kwa SpursyHii team ishuke tu kmk zao msimu uliopita mliwapiga spurs game kama nne mfululizo kombe tofaut eti leo wanajipigia tu
Leo/keshoBado hajafukuzwa tu?