Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

today lineup came on blues
20230226_153212.jpg
 
Jorginho ni mchezaji mzuri ndomaana kila kocha aliyefundisha Chelsea alikuwa anampa nafasi
Shida mashabiki wengi Kuna wachezaji inatokea hawawakubali tu

Mimi Gorginho kitambo nilikuwa namtamani atue kwetu

Modern football imeshaachana na swala la Kiungo mkabaji eti ni jukumu la mmoja

Modern football inasema jukumu la ukabaji ni timu nzima ,
 
Hata kipindi Cha sarri mashabiki walikuwa hawampendi na kipindi hicho walimtunga jina mtoto wa sarri.Jorginho afahi chelsea kwasababu chelsea wanahitaji kiungo full package kama Enzo mwenye uwezo wa kukaba, kucontrol mechi, na kuchezesha team vizuri. Jorginho Alikuwa anakosa vitu hivi sio mzuri kiukabaji, mzito, na anashindwa dhidi ya team zinazopress Sana ubora wa Jorginho upo kwenye pass tu na kucontrol game ukitoa hivyo hana vitu vya kuoffer vingine ndio maana chelsea wamemuuza
Dogo itoshe kusema hujui mpira, if you dont know what to say please keep quite brother.
 
Basi ni sababu ya mpira wenu

Kwa Arsenal tunahitaji Kiungo anayeweza ku control mechi na passing ability kubwa maana swala la kukaba kwetu ni mfumo mzima

Hapo Sasa nimekuelewa

Nimemfatilia mech toka amefika Arsenal ,tuna control mechi muda mwingi ,Tofauti na Partey tuta control Ila Kuna muda tuna loose kiasi

Mechi alizocheza JoJo tumepiga possession 70% karibu zote
 
We ilibidi uangalie mpira kwenye mfumo mchezaji anafit wapi, ku isolate mchezaji mbali na mfumo afu unaanza kuchambua madhaifu yake yani ukifanya hivyo dogo hata Sergio Bosquets ni mchezaji mbovu, na itakuchukua muda sn kuelewa soka.
 
1. Hajui kukaba
2. Hawezi kudominate
3. Hawezi kucontrol mchezo

Mashabiki wa hii timu wao ni mpira magoli hivyo vingine hawana uwezo hata wa kuvianalyze
 
Kipindi hicho Cha sarri kuna wakati tunakuwa hata possession ya asimilia 80 ila ukija kuangalia matokeo tunpigwa 4 bila na hiyo ni kwasababu ya Jorginho shida ilikuwa ni mfumo ndio maana Jorginho anaonekana ni mzigo kwenye team. Na kipindi hicho Jorginho ndio mchezaji alikuwa anapokea lawama nyingi kushinda mchezaji yoyote kwasababu mashabiki walitaka nafasi yake acheze Kante
 
Sijui kwa nini Potter anapenda sana kufanya rotation,

Kuna sababu gani ya kumfanya Badiashile leo aanzie benchi??

Una zakaria, kwanini unaendelea kumkomalia RLC.

Enzo anahitaj kucheza na mtu atakaemfanya awe free kusogea mbele.
 
We ilibidi uangalie mpira kwenye mfumo mchezaji anafit wapi, ku isolate mchezaji mbali na mfumo afu unaanza kuchambua madhaifu yake yani ukifanya hivyo dogo hata Sergio Bosquets ni mchezaji mbovu, na itakuchukua muda sn kuelewa soka.
Mwenzako hamis77 mwenye kujua soka kanielewa wewe naona unaongozwa na ushabiki kuliko logic
 
Sijui kwa nini Potter anapenda sana kufanya rotation,

Kuna sababu gani ya kumfanya Badiashile leo aanzie benchi??

Una zakaria, kwanini unaendelea kumkomalia RLC.

Enzo anahitaj kucheza na mtu atakaemfanya awe free kusogea mbele.
Hapo ndipo anaponishangaza alafu akifungwa anaanza kutoa maneno ya huruma kumbe source ni yeye
 
1. Hajui kukaba
2. Hawezi kudominate
3. Hawezi kucontrol mchezo

Mashabiki wa hii timu wao ni mpira magoli hivyo vingine hawana uwezo hata wa kuvianalyze
Jorginho is good defender, sema watu wanafanya hawaoni afu Kukaba kuna maana gani kwenye timu inayomiliki mpira kwa 70%?

Kukimbia sn maana yake nini ikiwa role ya mchezaji ni kucontrol eneo dogo tu la pivot? Jorginho has got great brain, that's all we need
 
1. Hajui kukaba
2. Hawezi kudominate
3. Hawezi kucontrol mchezo

Mashabiki wa hii timu wao ni mpira magoli hivyo vingine hawana uwezo hata wa kuvianalyze
Hatuna sehemu mshabiki amesema Jorginho hawezi kudominate game au kucontrol game wakati hizo ndio strength za Jorginho.

Weekness za Jorginho ni
1. Sio mkabaji mzuri
2.Mzito
3.Hana muendelezo mzuri wa kiwango anaweza kukupa mechi nzuri mechi 3 mechi 3 zijazo ukamkataa.
4. Back pass nyingi
5. Akikutana na team zinazopress Sana anakuwa ovyo sana
 
Emerson amekua on form kwa wiki kadhaa nyuma nafikiri imekua sahihi Sterling kuanza kutokana na uzoefu shida ni kwamba Sterling atakusaidia kutengeneza nafasi je kudefend muda Emerson anapanda mbele?

Spurs kaovercrowd mid ila anarely kwenye counter na long balls sidhani kama Loftus Cheek ni mzuri katika kumzuia Hojberg kwenye thru balls na long balls.

Koulibaly tho hapo chelsea ameonekana siyo mtamu sana ila ni bora yeye kuliko Chalobah (simuoni hata benchi wala kwenye orodha ya maheruhi) Spurs ana forwards lethal mbele ya goli kuliko Chelsea kwa leo, tukiachana na yale ya 'Spurs will find a way to be Spurs' nafikiri Spurs ana % kubwa za kushinda kuliko Chelsea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom