OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Lembu unakatwa na potter 😀😀😀Ni wapuuzi tu ndio wanatoa coment kama hii
Lembu unakatwa na potter 😀😀😀Ni wapuuzi tu ndio wanatoa coment kama hii
Wana hasira ama ni wapumbavu. Tofautisha hivi vitu viwiliPotter achomewe ndani na familia ake ndio maboss wanatajua raia wana asira
We Arsepimbi siku Chelsea tukishinda uje pia utuletee mrejesho wako wa kuhangaika na timu isiyokuhusu.Tuna imani na potter
Liver kuku inakutesa unakuja kupiga porojo hukuNadhani Chelsea itashuka daraja
Kama huwezi mgunga Southampton kwako utamfunga nani?
Kesho Spurs anakupiga kama mtoto
Potter achomewe ndani na familia ake ndio maboss wanatajua raia wana asira
Sasa kaka unataka baba wa watu familia yake ikale wapi?View attachment 2530030
Na Mimi nashangaa kwanini ile tabia yake ya back passes kaiacha, sasa hivi linaubobda mpira kwenda mbele ,hadi mashoot anapigaUyu jamaa ni mtu sijui kwanini alikua anaonekana Kenge hapo darajani View attachment 2530354
Kwani Jorginho alikuwa afanyi vizuri chelsea ukumbuki mapass yake kwenda kwa Abraham shida ya watu wengi walikuwa wanamlalamikia Jorginho kukosa ile consistency performance na pia anakuwa ovyo sana akikutana na team zinazopress juuNa Mimi nashangaa kwanini ile tabia yake ya back passes kaiacha, sasa hivi linaubobda mpira kwenda mbele ,hadi mashoot anapiga
Sioni maanabu ya Jorginho kwanza lazima ujue kwanini mashabiki wengi wa chelsea hawamkubali Jorginho. Jorginho sio kwamba alikuwa vafanyi vizuri chelsea sema ni mchezaji ambaye anaweza kukupa best performance mechi 3 mechi 3 zijazo ukamkataa, la pili sio mkabaji mzuri wakati kwa situation yetu tulihitaji kuwa mchezaji ambaye ni mzuri kiukabaji na Ndio maana tukamchukua Enzo na tukawa tunamwitaji Caicedo, Tatu Jorginho ni mzito pia anakuwa ovyo akicheza dhidi ya team inayompress hapa ndio utaona zile back pass zake sio mzuri kwenye kushinda press labda spare usaidizi mkubwa wa mchezaji atakayecheza naeUyu jamaa ni mtu sijui kwanini alikua anaonekana Kenge hapo darajani View attachment 2530354
Kocha gani lipumbavu linacheza mechi kumi alishindi ata moja. Huyu si bora awahishwe tu akheraWana hasira ama ni wapumbavu. Tofautisha hivi vitu viwili
Unakatwa na potter wewe😀😀😀Wew kwel zero brain, yaani mamipira tu unaombea watu wauawe
Waache waongee, siku wakichomekewa na Jorgninho ndio watamuelewa sawa sawaSioni maanabu ya Jorginho kwanza lazima ujue kwanini mashabiki wengi wa chelsea hawamkubali Jorginho. Jorginho sio kwamba alikuwa vafanyi vizuri chelsea sema ni mchezaji ambaye anaweza kukupa best performance mechi 3 mechi 3 zijazo ukamkataa, la pili sio mkabaji mzuri wakati kwa situation yetu tulihitaji kuwa mchezaji ambaye ni mzuri kiukabaji na Ndio maana tukamchukua Enzo na tukawa tunamwitaji Caicedo, Tatu Jorginho ni mzito pia anakuwa ovyo akicheza dhidi ya team inayompress hapa ndio utaona zile back pass zake sio mzuri kwenye kushinda press labda spare usaidizi mkubwa wa mchezaji atakayecheza nae
Hivi wewe akili zako huwa ziko sawa au nabishana na mwehu, mpira hufuatilii lakini mashabiki wapumbavu wanaomtishia kocha na familia yake kwa ajili tu ya mpira una muda wa kuwafuatilia na kuwaunga mkonoLembu unakatwa na potter 😀😀😀