Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanaweza kuamua kutumia uwanja wa Wembley wakati wanakarabati au kujenga upya uwanja wa Stanford Bridge.

Uwanja wa Wembely uko kaskazini magahribi kutoka uwanja wa Stanford Bridge kama kilomita 16 hivi na una uwezo wa kubeba watu 90K ukiwa ndio uwanja mkubwa pale UK na wa pili kwa ukubwa Ulaya.

1677286700556.png
 
Kuandamana wakiwa na mango wakihamasisha kutumuliwa kwa kocha, kugomea kununua tickets pamoja na kutoingia uwanjani kucheki mpira kwahiyo ndugu subiri Potter apoteze against spurs na kutolewa na Dortmund UEFA ndio utaona hali ya hewa itavyochafuka hakuna mtu atakayekuwa upande wa Potter Tena kuanzia mashabiki, legends wa club, wachambuzi wa Media, Waandishi ikishafikia hatua hiyo kivyovyote Mabossi hawatamvumilia Tena kinachofuata ni kutimuliwa
juan david

Nguvu kama ipi kwa mfano?
 
Potter ni mpumbav , kile kikosi cha sasa kocha yoyote hata kama kilaza anaperform ,huyu mpuuzi hajashinda mechi hata moja ,anataka kikosi gani sasa , ukiangalia wale vijana ni vijana wadogo na wana talents ,ni nini kinachomfanya Tu loose kila mechi ?
 
Kuandamana wakiwa na mango wakihamasisha kutumuliwa kwa kocha, kugomea kununua tickets pamoja na kutoingia uwanjani kucheki mpira kwahiyo ndugu subiri Potter apoteze against spurs na kutolewa na Dortmund UEFA ndio utaona hali ya hewa itavyochafuka hakuna mtu atakayekuwa upande wa Potter Tena kuanzia mashabiki, legends wa club, wachambuzi wa Media, Waandishi ikishafikia hatua hiyo kivyovyote Mabossi hawatamvumilia Tena kinachofuata ni kutimuliwa
juan david
Mkuu unahisi kuna watu wataandamana, zaidj yakuweka banner za potter out katika siku za match, kuzomea,

If mashabiki wangekuwa wanazingatiwa kunabaadhi ya makocha wasingeondoka chelsea, o wangerudishwa.

Hata huyu Potter akifukuzwa sio sababu ya mashabiki bali tu ni vile wakina boehly-eghbal wakiona hakuna mwanga wowote.

Maamuzi ya mwisho ya hatma ya Potter yapo kwa Boehly-Eghbal.
Mashabiki tutapiga kelele sasa siku ikitokea mambo yakienda fresh tutasahau haya yote.
 
Nadhani Chelsea itashuka daraja
Kama huwezi mgunga Southampton kwako utamfunga nani?
Kesho Spurs anakupiga kama mtoto
 
Wakati Potter anachukua Chelsea kuifundisha, Aston Villa walikuwa wa mwisho kwenye table
Leo hii Astona Villa na Chelsea wamelingana points 31 kila moja, mechi zijazo Astona Villa watampiku Chelsea kwenye namba 10 na points
Kazi ya Unai Emery hiyo , pumbaf Sana Boehly ,mkurupukaji Yule, potter hafai kuwa kocha wa chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom