Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanamkubali Potter kwa sababu ni kama puppet wao, akiambia lolote anasema ndio bosi, kaa chini ndio bosi, lala kifudifudi, ndio bosi, leo weka 343 ndio bosi, ile mechi na Dortmund weka 6-3-2 ndio bosi. Potter hawezi kupinga kama TT na ndio maana TT alifukuzwa
Kocha yoyote elite hawezi pelekeshwa, na ndio maana hata huyu Emrique mashabiki tunaemtaka hawezi kuja ni makocha wwnye misimamo yao hawa
 
alisema "am here to help the team"
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Tuchel alisema I am here to win titles
Yeye anasema I am here to help the team

TT alisema I will build a team where no teams will want to play against
GP anasema "The lads gave it everything...unfortunately we just couldn't get the result we wanted"
 
Inasikitiaha kuona board ikiamini maswala ya nje ya uwanja kuendelea kumuamini Potter na kuendelea kuwa na imani nae.

Kumuamini manager ambae hata huko Brighton hakuwah prove lolote ni kazi bure
 
Games 5 zijazo tupigwe na kitu chenye ncha kali roho yangu ifurahi mana nshachoka.
Kwahy wanangu mnataka kusema kuwa hakuna kipengele cha kufukuzwa kama timu itafanya vibaya..?
 
Sasa kama hayo ni maoni yangu na hao wanaofanya utambuzi huko si ni maoni yao pia?

Nilichosema ndiyo hicho kama mnaweza kubadilisha badilisheni.
Wewe kama nani kitaaluma na una uzoefu gani, kiasi kwamba unahisi huo ushauri wako unaweza kuinyanyua Chelsea?

Vinginevyo, nadhani ungekaa kimya kuliko kuleta ujuaji ilhali wajanja wanakuona mweupe tu.
 
Write your reply...Hii timu inakoelelea sio kuzuri, something needs to be done instantly.
 
Hata kama Potter sio kocha mzuri, hao wachezaji wanalipwa mshahara mkubwa halafu mwezi mzima hakuna anayefunga goli. Wanafikiri timu itasurvive namna gani hapo jijini London

1676924958934.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom