juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Huwezi compare 1980s na sasa,Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United aliikuta timu ipo nafasi ya kwanza zikiwa zimebaki mechi 7 lkn akahakikisha anafungwa zote na timu ikashika nafasi ya 16