nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,649
hakuna haja ya kufunga goli lolote kama huyu mbwa ni kocha hapo, bora wasifungeee kabsa mpaka ligi iishee tuone huyo bwana miluzi kama ataendelea nayeHata kama Potter sio kocha mzuri, hao wachezaji wanalipwa mshahara mkubwa halafu mwezi mzima hakuna anayefunga goli. Wanafikiri timu itasurvive namna gani hapo jijini London
View attachment 2524466
