Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20230219-162902.jpg

😂😂
 
Hayo ni maoni yako, lethal utengenezwa. Siku miongoni mwa uliosema siyo lethal wakifanya vizuri unarudi tena na stories zingine.
Kuna watu wanafanya kazi ya utambuzi zaidi yako huko Chelsea, kila timu inayumba na baadae inakaa sawa.

Sasa kama hayo ni maoni yangu na hao wanaofanya utambuzi huko si ni maoni yao pia?

Nilichosema ndiyo hicho kama mnaweza kubadilisha badilisheni.
 
Hata Tuchel angebaki bado hii timu isingeperform

Mashabiki tunapenda kuishi kwa 'Ange' nyingi.

Tuchel amefukuzwa akiwa kagewa pesa za kusajili na akiwa kasajili mabeki wakina Koulibaly na wenzake, online zikatembea trolls za kikosi cha chelsea kimesheheni mabeki.

Am simply saying chelsea tayari ishaelekea shimoni, kwakua mashabiki wake huamini kusajili ni dawa tajiri miluzi hakuwaangusha, akasajili kila aliyesikia anasajiliwa ila shida inakuja ya kutansform mtu wa kwenye makaratasi azalishe kitu uwanjani

Niliwahi kusema Mudryk siyo lethal finisher 100%, sawa sawa na Mount, Kai, Felix, Madueke lethal finisher ni Auba ambaye kiwango chake ni hovyo. So ishu ya Chelsea ni striker ila hivi viazi vikaamini suluhu ni kuwaleta wakina Badishile

Y'all are just POS. Jitahidini kutumia akili.
Unahisi kuna kocha yoyote yule angekubali matokeo ya aina hii 2 wins katika 15 games. Na stil kwel press conference useme the lads gave everything.

Kipi ambacho Potter ameimprove chelsea tangu ametangazwa?
 
Kocha akiwa mzuri na wachezaj wataonekana wazuri. Ten Hag jins alivyowaimprove man utd unaona kabisa kocha kuna kitu katengeneza.

Hata wale wakina Wan Bisaka ambao walikuwa wabov wakipata nafas wanaonekana wazuri,wanajituma.

Man utd baada ya kufungwa na Brentford wakabadilika walivyopigwa na City Etihad wakazidi kubadilika na sahiv unaona kabisa wako serious.

Potter yeye tangu aje no improvement yoyote ambayo ameonesha ambayo unaweza sema inatupa matumain zaidi ya kuwafanya mashabiki wote kumkataa.

Kocha anaekubali kufungwa or kudraw na kuja kusema the lads gave everything, hastahil kuwa kocha wetu.
 
Sasa kama hayo ni maoni yangu na hao wanaofanya utambuzi huko si ni maoni yao pia?

Nilichosema ndiyo hicho kama mnaweza kubadilisha badilisheni.
Najua mna uzoefu wa kimvumilia Arteta. Sisi no. 10 tu tunavimba kwa makelele. Arteta aliifikisha Arsenal hadi nafasi ya mkiani kabisa 2021/22 msimu wa kwanza.
Mungu tupe uvumilivu kama mashabiki na wamiliki wa Arsenal
 
Unahisi kuna kocha yoyote yule angekubali matokeo ya aina hii 2 wins katika 15 games. Na stil kwel press conference useme the lads gave everything.

Kipi ambacho Potter ameimprove chelsea tangu ametangazwa?
Pia jana baada ya mechi kasema tatizo la Chelsea hahusiki yeye
 
Sijasema Potter kaimprove lakini sidhani kama Tuchel angefanya aliyoyafanya kipindi amefika
 
Najua mna uzoefu wa kimvumilia Arteta. Sisi no. 10 tu tunavimba kwa makelele. Arteta aliifikisha Arsenal hadi nafasi ya mkiani kabisa 2021/22 msimu wa kwanza.
Mungu tupe uvumilivu kama mashabiki na wamiliki wa Arsenal
Well kinachomatter siyo stori inavyoanza bali inavyoisha. Kama mtageuza hii stori mkaimalizia top four mtakua mmefanya jambo kubwa mno.

Ila sisi Arteta hatukumpa mkataba wa miaka 5
 
Pia jana baada ya mechi kasema tatizo la Chelsea hahusiki yeye
Potter anamentality ya team ndogo kwake kulose ni sawa, akifungwa game 5 ni sawa yani hajali.

Ukiskiliza press conference yani hana ile winning mentality.
Ten Hag press conference yake ya kwanza tu anakwambia klopp n pep era can come to an end.

Tuchel anakwambia am here to win titles.

Unaona kabisa determination ya mwalim hata wachezaj nao wanakuwa wako tayar kushindana.

Sasa potter sasa ukiskiliza press conferec zake hakuna spirit,mentality ya kushindana havipo.
 
Well kinachomatter siyo stori inavyoanza bali inavyoisha. Kama mtageuza hii stori mkaimalizia top four mtakua mmefanya jambo kubwa mno.

Ila sisi Arteta hatukumpa mkataba wa miaka 5
Even Arteta katika miez 6 yake ya mwanzo aliwin FA Cup then Community Shield. Unaona kabisa kuwa huyu ni kocha akipewa mda atawin.

Sasa Potter ndani ya miez 6 hatuko katika michuano yoyoye alichohakikisha na tunaenda kutolewa na Dortmund. Then atasema the lads gave everything.

Premier league Tuchel alituacha tuko wa 4, katika mech 6 za mwanzo kama sijakosea ila Potter kashatutoa hapo tuko 10
 
Well kinachomatter siyo stori inavyoanza bali inavyoisha. Kama mtageuza hii stori mkaimalizia top four mtakua mmefanya jambo kubwa mno.

Ila sisi Arteta hatukumpa mkataba wa miaka 5
Mkataba mfupi au mrefu na uvumilivu ni vitu viwili tofauti. Kocha hata akipewa 10 yrs contract kumtimua kama hafanyi vizuri kuko pale pale. Hujui kwenye huo mktaaba mrefu kuna vipengele vipi. Inaweza kuwa mkataba mrefu ni kumpa peace of mind to il;i afanye kazi yake kwa amani. Ila ianweza pia kuwa ina vipengele vya kupart ways ambazo hazimpi faidi kubwa yeye. Unaweza ukakuta mkataba wa miaka mitano lakini partways terms ikawa ni 40% ya value ya mkataba kwa muda uliobaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom