Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"When you take over any business, you have to make sure you're aligned with the people who are operating the business," Boehly said on the sacking of Thomas Tuchel.

👉 "[Thomas] Tuchel is obviously extremely talented and someone who had great success at Chelsea. Our vision for the club was to find a manager who really wanted to collaborate with us, a coach who really wanted to collaborate. ?????

''There are a lot of walls to break down at Chelsea. Before [we arrived], the first team and academy didn't really share data, didn't share information about where the top players were coming from. Our goal is to bring a team together; all of that needs to be a well-oiled machine."

"We are thrilled to bring Graham to Chelsea. He is a proven coach and an innovator in the Premier League who fits our vision for the Club.

''Not only is he extremely talented on the pitch, he has skills and capabilities that extend beyond the pitch which will make Chelsea a more successful Club. He has had a major impact at his previous Clubs and we look forward to his positive impact at Chelsea. We look forward to supporting him, his coaching team and the squad in realising their full potential in the coming months and years.''

-Tod Boehly

Kiswahili

"Unapochukua biashara yoyote, lazima uhakikishe kuwa watu wanaoendesha hiyo biashara wanaendana na wewe," Boehly alisema wakati anamwachisha kazi Thomas Tuchel.

👉 "[Thomas] Tuchel ni wazi ana kipaji cha hali ya juu na mtu ambaye alipata mafanikio makubwa Chelsea. Maono yetu kwa klabu ilikuwa kupata meneja ambaye alitaka sana kushirikiana nasi, kocha ambaye alitaka kushirikiano. ?????

''Kuna kuta nyingi za kubomoka Chelsea. Kabla ya [hatujafika], timu ya kuu na akademia hazikuwa na mfumo mmoja wa kushirikisha takwimu, hazikushiriki takwimu kuhusu wapi wachezaji wakuu walikuwa wakitoka. Lengo letu ni kuleta timu pamoja; yote hayo yanahitaji kuwa mashine yenye mafuta ya kutosha."

"Tunafuraha kumleta Graham Chelsea. Ni kocha aliyethibitishwa na ni mbunifu katika Ligi ya Premia ambaye anaendana na maono yetu kwa Klabu.

''Sio tu kwamba ana kipaji kikubwa sana uwanjani, ana ujuzi na uwezo unaoenea zaidi ya uwanja ambao utafanya Chelsea kuwa Klabu yenye mafanikio zaidi. Amekuwa na matokeo makubwa katika Vilabu vyake vya awali na tunatazamia matokeo yake mazuri akiwa Chelsea. Tunatazamia kumuunga mkono, timu yake ya ukufunzi na kikosi katika kutambua vipaji na uwezo wao kamili katika miezi na miaka ijayo.''

- Tod Boehly

80
 
"Kila kitu kinakwenda kinyume kwa sasa, tuko katika wakati mbaya na tunapaswa kushikamana," aliiambia tovuti ya Chelsea.

“Tuna kikosi kikubwa, wachezaji wengi na wenye ubora lakini mambo hayaendi sawa.

"Lakini sio kwa sababu tulibadilisha wachezaji sita au watano au mmoja, ni ya jumla zaidi, hatufanyi vizuri, ni wazi na tunapaswa kuimarika.

"Ni wakati wa kushikamana na wakati wa kufanya kazi kwa bidii, kufanya kazi na kufanya kazi."

Maneno ya Kepa ni maoni ya hekima Potetr anatakiwa kuiga
 
Kuna wanaosema ROMA haikujengwa kwa siku moja
Yajayo yanafurahisha
 
Wachezaji jana jumapili na leo jumatatu wamepewa mapumziko kama vile wamefanya kazi nzuri wiki iliyopita kwa kudungwa kimoja na Dortmund na Soton
 
Hata Tuchel angebaki bado hii timu isingeperform

Mashabiki tunapenda kuishi kwa 'Ange' nyingi.

Tuchel amefukuzwa akiwa kagewa pesa za kusajili na akiwa kasajili mabeki wakina Koulibaly na wenzake, online zikatembea trolls za kikosi cha chelsea kimesheheni mabeki.

Am simply saying chelsea tayari ishaelekea shimoni, kwakua mashabiki wake huamini kusajili ni dawa tajiri miluzi hakuwaangusha, akasajili kila aliyesikia anasajiliwa ila shida inakuja ya kutansform mtu wa kwenye makaratasi azalishe kitu uwanjani

Niliwahi kusema Mudryk siyo lethal finisher 100%, sawa sawa na Mount, Kai, Felix, Madueke lethal finisher ni Auba ambaye kiwango chake ni hovyo. So ishu ya Chelsea ni striker ila hivi viazi vikaamini suluhu ni kuwaleta wakina Badishile

Y'all are just POS. Jitahidini kutumia akili.
Tangu mwanzo nilitaka timu apewe mwarabu lakini sio hawa wamarekani hawajui biashara ya mpira na wanafanya makusudi tiku ishindwe kumdhihaki Mrusi. Wanajua hadi sasa Chelsea ikisimama yule Mrusi atakumbukwa kwa hiyo wanataka kufuta historia ya Chelsea ili Mrusi asikumbukwe daima. Wapuuzi sana serikali ya uingereza na watapigwa nyuklia tu ngoja muda utaongea. Wakiangamiza Chelsea na wao wataangamia pia.
 
Wachezaji jana jumapili na leo jumatatu wamepewa mapumziko kama vile wamefanya kazi nzuri wiki iliyopita kwa kudungwa kimoja na Dortmund na Soton
Kulikuwa na ulazima gani wakuwapumzisha silva/james kama kulikuwa na plan ya kuwapa wachezaji 2 days off.
 
Tangu mwanzo nilitaka timu apewe mwarabu lakini sio hawa wamarekani hawajui biashara ya mpira na wanafanya makusudi tiku ishindwe kumdhihaki Mrusi. Wanajua hadi sasa Chelsea ikisimama yule Mrusi atakumbukwa kwa hiyo wanataka kufuta historia ya Chelsea ili Mrusi asikumbukwe daima. Wapuuzi sana serikali ya uingereza na watapigwa nyuklia tu ngoja muda utaongea. Wakiangamiza Chelsea na wao wataangamia pia.
Duh
 
Kulikuwa na ulazima gani wakuwapumzisha silva/james kama kulikuwa na plan ya kuwapa wachezaji 2 days off.
Kocha wako ana akili basi wewe jiulize kulikuwa na ulazima gani wakumtoa Fofana Ambaye ni striker alafu Cha ajabu anambakisha Mount Ambaye hakuna alichokifanya kwenye pitch
 
Kocha wako ana akili basi wewe jiulize kulikuwa na ulazima gani wakumtoa Fofana Ambaye ni striker alafu Cha ajabu anambakisha Mount Ambaye hakuna alichokifanya kwenye pitch
Potter hii team ishamshinda, ukimuuliza ipi ni winning team yake hawezi jibu. Na ndio maana hakuna improvement yoyote maana kila wiki mabadiliko..

Ni mmoja kati ya mistake mbovu tulizowahi fanya ni kumuappoint huyu, ni kama tumedowngrade na tumeshusha standard zetu
 
Mmiliki wa Chelsea bado ana ushamba kwenye football. How could you commit the novice (coach) to a 5-year contract?
Sasa mtihani alionao ni kumfukuza na kumlipa fidia close to £50m as per the contract.
Potter was good with a mid-table team, managing player with an average weekly salary of around £20k per week.
I am very sure, hawezi kuwapeleka popote.
Wajanja wanatoa mikataba ya miaka 2-3, ukizengua unaondolewa
 
Unampa long contract mtu ambae hajawah prove popote pale.

Kuna makocha huwa ni wazuri wanapokuwa kwenye mid table team, ila ukiwapeleka kwenge hizi team zetu kubwa lazima tu waboronge.

Yani Potter jinsi anavyoongea katika press conference utasema bado yuko Brighton, yani akifungwa o kudraw or maamuzi yote mabaya kwa refaree yupo tu ni the lads gave everything.
 
We are slowly becoming a mid table team. Tushaanza kusahau ladha ya ushindi hawa wamarekani wanatuuwia timu yetu
 
Najua mna uzoefu wa kimvumilia Arteta. Sisi no. 10 tu tunavimba kwa makelele. Arteta aliifikisha Arsenal hadi nafasi ya mkiani kabisa 2021/22 msimu wa kwanza.
Mungu tupe uvumilivu kama mashabiki na wamiliki wa Arsenal
Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United alifungwa mechi 38 mfululizo misimu wake wa kwanza kabisa
 
Even Arteta katika miez 6 yake ya mwanzo aliwin FA Cup then Community Shield. Unaona kabisa kuwa huyu ni kocha akipewa mda atawin.

Sasa Potter ndani ya miez 6 hatuko katika michuano yoyoye alichohakikisha na tunaenda kutolewa na Dortmund. Then atasema the lads gave everything.

Premier league Tuchel alituacha tuko wa 4, katika mech 6 za mwanzo kama sijakosea ila Potter kashatutoa hapo tuko 10
Sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United aliikuta timu ipo nafasi ya kwanza zikiwa zimebaki mechi 7 lkn akahakikisha anafungwa zote na timu ikashika nafasi ya 16
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom