Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sure ,Felix Yuko poa Sana kufanya movement pale mbele moja kagongesha mwamba ,nyingine kupaisha . Tungekuwa tunaongeza 2-0 sasa hivi ,ngoja tuone second half itakuwaje ,game imebalance ,sijaona kama tumezidiwa sana ,sema kipindi cha pili kasi iongezwe . Havertz n kupooza mipira ,yaani ile akili yake haibadiliki ,apigwe benchi pimbi yule , sasa hivi ni forward quick movements na accuracy ndio wanatakiwa walifanyie kazi
Cheek hafai kurudi 2nd half, Enzo ni kama anafanya kazi ya watu wawili.

Felix dah sahiz ingefaa awe anaitafuta hat trick .

HT.0-0

COYB
 
Tumekosa magoli mengi ,porter afanyie kazi umaliziaji ,mpira kipindi cha pili tumecheza haswa , tumewakimbiza haswa hawa wajerumani mpaka wakapaki bus ,ila pamoja na hivyo nafasi tumezipata nyingi sana ndio hivyo bahati haikuwa upande wetu kama ile aliyoitoa kwenye line ya mlingoti wa goli Emre Can
 
Ft. 1-0

Game ya leo ni kama tulikuwa hatuna bahati, tumecreate chance za kuscore tumeshindwa.

2nd half, tulikuwa bora sana ni vile tu Tulikosa bahati.

Kwa performance hii naimani 2nd leg tunashinda.
Kabisa , porter nadhani kaona pattern ya uchezaji inavyo takiwa kuwa ,afanyie kazi vijana kufunga magoli ,tunahitaji nyavu zitikisike ,
 
Hivi Hii ni timu au kikundi Cha wauza gongo
20220420_231115.jpg
 
Siwez mlaum potter leo, kama ni chance za kuscore tumepata ila tumeshindwa.

Tumecreate chance nyingi zakufunga ila tumeshindwa.
Mimi nitamlaumu kwa sababu haya matatizo anayataka mwenyewe. Yule dogo Datro ni mchezaji mzuri sana lakini hampi nafasi dogo anakula benchi na wadororaji wanaanza kila siku. Kipindi cha Tuchel kina Mount wakizingua mara mbili mechi inayofata anakula bench, hiyo inamsaidia mchezaji kujituma sasa huyu Potter anawakumbatia tu.

Huyu anatakiwa akae bench hata mechi mbili ya tatu atokee bench same kwa wachezaji wengine watajifunza. Yapo mambo mengi Potter anayokeraa
 
Datro hayupo kwenye kikosi cha UEFA, hakuna striker mwingine

Kwa game ya leo kakosea wapi?

Auba alitolewa kwenye kikosi cha uefa ili Tuweze ongeza wachezaj watatu.
Broja injury
Sterling injury
Datro hayupo kwenye kikosi cha UEFA.

Unahisi nani angecheza leo?

Tuangalie performance nzima ya team leo imecheza je tunaweza maintain hii performance au tunaweza improve zaidi ya hapa?.

Chance za Felix, goal line clearance siku zozote zile ni goal, cha muhim tukicheza hivi mechi ijayo tunashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom