Ume loose battle sasa unakimbilia kwenye makombe, nani ni mpumbavu hapo.Kabisa Asepimbi, nawatakia kila la heri mechi yenu ya leo mshinde mjiweke vizuri kuchukua ubingwa lakini usisahau unazurura kwenye anga za Mabingwa wa klabu BINGWA YA DUNIA, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP ambapo we huna kombe lolote kati ya hayo.
Ficha upumbavu wako unapozurura kwetu vidume Chelsea FC [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Battle gani we Arsepimbi [emoji16]Ume loose battle sasa unakimbilia kwenye makombe, nani ni mpumbavu hapo.
Oya mazee unazi pembeni , hatutoboi ng'o na huyu kilaza porter ,neverHakuna kitu kama hicho
Hizi media njaa huwa zinaingia sehemu yenye tatizo na kutengeneza habari inayoendana na context husika
Wambea wa mtaani
Wakisikia bwana fulani wana misunderstanding na mke wake wataweka kwenye headline .... kutalikiana na mke wake
Hata huku kwetu wee soma headline za magazeti halafu neda soma habari husika, ndio maana mimi tangu zamani niumeachaga kununua magazeti
Zipo headline nyingi zinamtaja Enrique kuja kumreeplace GP ila ni za uongo
Zidhani hata kama a akina Boehly walishafikria hilo suala
Wao walishaweka standard zao
Hata timu isipomaliza top 4
Hata timu isipobeba vikombe
Angalau kwenye UEFA ifike mbali
Potter atakuwepo
Changamoto ya Potter itakuwepo msimu ujao
Baada ya maombi yule shetani ameona awaache na gundu laoKumbukeni kuwai kesho kwenye maombi pasipo Mungu hamuwezi kitu.[emoji16][emoji16]View attachment 2513779
Team imejaa kama kikundi cha nyukiHakuna team apa
Halafu kununuliwa pound ,65 ,shenzy ,bora tungenunua Ake mchezaji wetu wa zamani kwa 40 atoest ilikuwa reasonableTatizo lake sio Mudryk, hata akkibaki na goli atawaza kumtafuta Silva, Badiashile au Kepa. Pumbavu sana huyu
Tunavyo zingua hivi ,tunaweza pata tabu na kudhalilika sana tukicheza na watu hatari kama Dortmund ,sipati picha hiyo Champions league tutakutana na dhahama ipi aiseeKuku ndio alizubaa alikuwa na uwezo wa kuruka ili kuokoa
Ila Chelsea watumishi hewa ni wengi aisee Pullisic naye bado yuko nje ,Katika zile failed business kwanza kulikua na Pulisic na Ziyech sasa naongeza wawili ambao ni Cucurella na Potter pamoja na genge lake linaloitwa bench ufundi
Ila huyu dogo madueke ni baller nikiangalia anavyo control mpira na kuingia kupiga mashoot nafarijika sana Enzo ,Felix , Fofana , Madueke ,Murdyk Hawa watoto hii ni future ya Chelsea ,wanatakiwa walindwe na kupewa service ya maana washindi na kurudisha heshima kwa hii timu aiseeIla Chelsea watumishi hewa ni wengi aisee Pullisic naye bado yuko nje ,
Enrique aje bana ,makocha wa kiingereza ni wa midtable teams zisizo na mashindano mengi wala pressure ya matokeo , poor usShida ni kumpata Kocha mwingine ambaye ataiweka sawa Chelsea FC, wazoeane na kuelewa falsafa zake.
Ni kipande cha muda wala si rahisi kihivyo [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mchizi boti, drow gani tena unayo zungumzia, ya kabati ama kitanda?Daah tumetowa droo tena [emoji22][emoji22]
Au bakayoko ,ila Chelsea hii timu hii , yaani bakayoko naye bado ni mchezaji wa Chelsea ingawa yuko kwa mkopo timu nyingineHii timu ilitakiwa LAKAKA naye awepo.
Arsenal nayo gasoline umeisha kabisa mtaunguza engineUnavyoletaga noise pollution katika Jukwaa letu kumbe wewe ni the Blues?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] siamini
Kwani hata wakishikiliwa ninyi mtafaidia nini, timu zote zimechoka naona ile Hang'over ya December imehamia FebruaryUmemsahau na kuku wa lela.
Kenge ni kenge tu, nawasubiri wanangu Brentford wawashikishe arsepimbi ukuta wa London.