Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je hii jezy btangu Lampard aiachie imetendewa haki?

FonKHV-XEAk51xS
 
My preferred line up vs West ham tomorrow

4-2-3-1

------------------Datro Fofana----------------------

Mudryk ----------------Felix----------------Madueke

----------- Enzo ----------------- Denis--------------

Chilwell ------- Badiashile-------- Silva -------- James

----------------------Kepa ------------------------
Denis na Kovacic hawapofit kuanza game ya kesho dah majanga yanaendelea ni Bora kocha amchezeshe James donna la Kati kuliko gallagher kuanza la sivyo tutaona vituko kama mechi iliyopita Enzo hakupewa kabisa support kutokana na Gallagher kutojua nafasi yake pamoja Mount
 
Na mimi naanza kuungana na wanaodai kuwa wachezaji wa kiingereza sio wa kuwaamini kwenye starting XI
 
Denis na Kovacic hawapofit kuanza game ya kesho dah majanga yanaendelea ni Bora kocha amchezeshe James donna la Kati kuliko gallagher kuanza la sivyo tutaona vituko kama mechi iliyopita Enzo hakupewa kabisa support kutokana na Gallagher kutojua nafasi yake pamoja Mount
Hiyo nafasi si angejaribiwa Chunwuemeka au Chalobah kwani nasilkia pia ni DM
 
Wagonga nyundo wa London ndyo tunaanza ligi leo Cheltako tutawashindilia nyundo 2 za tako
Antonio man of the match
Enzo red card
 
Hata ile Chelsea yenye wagonjwa 11 bila akina Enzo na Mudryk wasingeweza kutufunga.
Prediction leo ni 3-0 kwa Chelsea
West Ham msimu huu wabovu lakini sioni Chelsea ikipata matokeo pale London stadium
Tuna records mbovu ya kupata magoli sijui mara ya mwisho lini kupata hata goli 2
 
Auba akataa kwenye mkopo MLS na kudai atapigania nafasi yake Chelsea hadi mwisho wa .sinu
Naye Potter amedai Aubameyang anafanya vizuri kwenue mazoezi
 
West Ham msimu huu wabovu lakini sioni Chelsea ikipata matokeo pale London stadium
Tuna records mbovu ya kupata magoli sijui mara ya mwisho lini kupata hata goli 2
Katika mechi zote 45 tulizocheza na Westham, tumewafunga 26, droo 9 na wametufunga 10
Katika mechi 7 za hivi karibuni kuanzia 2019 hadi Sept 2022 tumewafunga 5, wametufunga 2, hakuna droo

Mechi mbili za hivi karibuni
3 Sept 2022 tuliwafunga 2-1
24 April 2022 tuliwafunga 1-0

Wakati huo ndio walikuwa kwenye form nzuri hadi wakafaulu kushiriki michuona ya Eurpa Conference, leo tunakutana nao wakiwa wamemeza irizi imewalegeza hawana lolote hata nyundo hawawezi kubeba tena, wamebaki na jina tu
 
Nilikuwa namchukia Thiago Silva akiwa PSG kwa sababu takriban mara mbili tulipocheza na PSG UEFA, yeye ndie aliyetuvurugia kuwaondoa PSG kwenye mechi za mtoano. Nakumbuka mechi moja ya 19/03/2015 tulikuwa droo kwa bao moja kwa moja halafu dk za mwishoni akafunga bao la kichwa kutoka kwenye kona ndipo wakatuondoa kwenye R16

Ila tulipomchukua tarehe 28 August 2020, sikuamini kama atakuwa ni msaada na kabisa mechi ya kwanza alianza na individual error ndio kabisa nikasema hawa akina Marina walikuwa wanawza nini kumsajili mzee wa miaka 36 atatusaidia niniu kweli.

Lakini leo hii anamalizia msimu wake wa tatau na ameshasaini mktaba wa kukaa tena msimu wa nne
Tuna uhakiki Silva atakuwa akiichezea Chelsea akiwa na miaka 39 na miezi 10

Sasa Silva kashafuta makosa yake yote aliyotufanyia akiwa PSG na sasa yeye ni mmojawapo wa MAlegend wa Chelsea ambako kuna kila dalili ya kubakia darajani hata baada ya taaluma yake ya soka itakapofikia ukingoni
 
Katika mechi zote 45 tulizocheza na Westham, tumewafunga 26, droo 9 na wametufunga 10
Katika mechi 7 za hivi karibuni kuanzia 2019 hadi Sept 2022 tumewafunga 5, wametufunga 2, hakuna droo

Mechi mbili za hivi karibuni
3 Sept 2022 tuliwafunga 2-1
24 April 2022 tuliwafunga 1-0

Wakati huo ndio walikuwa kwenye form nzuri hadi wakafaulu kushiriki michuona ya Eurpa Conference, leo tunakutana nao wakiwa wamemeza irizi imewalegeza hawana lolote hata nyundo hawawezi kubeba tena, wamebaki na jina tu
Hatuwezi kupata matokeo kwa Chelsea hii ya Potter mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom