Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna uwezekano yaliyowakuta Juve ikawakuta Man City
FoRzC1YX0AI92TH
 
Haiwezi tokea
PEP Gardiola to Chelsea; Here we go!

Pep Guardiola discussed the investigation of @ManCity last year. "If they lie to me the day after, I am not here. I will be out, and I will not be their friend anymore. I put my faith in them because I believe them 100% from day one, I defend the club because of that." 7/5/22

Behdad Eghbali waiting outside Pep Guardiola's home

FoR4y2QXoAEjyF_

FoSIt3uXsAMgeVm
 
Kuna shabiki moja kule twitter kasema bana Badiashile amewafanya mashabiki wa Chelsea kumsahau Gvardiol
Hii ni nkweli kabisa, kijana wa paundi mil 29 anamfanya beki mwenzake wa paundi mil 100+ asahaulike kabisa. Hata angesajiliwa si ajabu Badiashile angemuweka benchi.
FoWbmKPXsAAZ5Y9
 
Binafsi simkubali kabisa Guardiola namuheshimu kama kocha Bora mwenye mafanikio lakini honestly sipendi aina yake ya soka huo wa pass nyingi
 
Mtu smart unamtambua kuanzia wakati wa Kwanzaa ball movement.
 
Binafsi simkubali kabisa Guardiola namuheshimu kama kocha Bora mwenye mafanikio lakini honestly sipendi aina yake ya soka huo wa pass nyingi
Yeah, hata mimi huaga style yake ya playing inaboa, na inaboa zaidi timu isiposhinda. Style ya Conte, Klopp na sasa Arteta ndio nzuri. Ball movement inakuwa haraka na direct to the boxes sio ile ya PEP ya kuzunguka uwanja through wings
 
Conte hana mpira wowote zaidi ya kupaki bus na kutegemea natural striker ...

Flow ya mpira kama ya arteta &klopp lazima ucheze na false 9 ....na ndio imempa mafanikia klopp

Huwezi kuwa na natural striker harafu ucheze mpira kama ule ...

Pep na klopp baada ya kuachana na false 9 ,kuleta natural striker,Bado wanastruggle kwenye system...
 
Kuna shabiki moja kule twitter kasema bana Badiashile amewafanya mashabiki wa Chelsea kumsahau Gvardiol
Hii ni nkweli kabisa, kijana wa paundi mil 29 anamfanya beki mwenzake wa paundi mil 100+ asahaulike kabisa. Hata angesajiliwa si ajabu Badiashile angemuweka benchi.
FoWbmKPXsAAZ5Y9
Ndio umuhimu wa kuwa na scout makini , mchezaji kuwa mzuri si mpaka tukimbilie wachezaji wa bei kali ,unaweza pata mchezaji wa 10-20-30£ m .mwenye umri mdogo na anayeubonda kuliko hao wa bei mbaya , nikikumbuka pesa tuliyopoteza kwa Lukaku ,naumia sana ile pesa tungeweza kupata wachezaji 3 toka Portugal ,France au America ya kusini ambao wangekuwa wanaosaidia timu kwa sasa
 
Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

1675830284051-png.2509987

1675829805705-png.2509984

Fn6u9UOXkAIWif-
 
View attachment 2509987
View attachment 2509984
Pundits WA kiingereza huwa ni wangese sana ,
 
Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

View attachment 2509987
View attachment 2509984
Fn6u9UOXkAIWif-
Hao jamaa ni watu wa ovyo sana
 
Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

1675830284051-png.2509987

1675829805705-png.2509984

Fn6u9UOXkAIWif-
Eti not worthy... lkn Kwa jack grealish vigimbi hawaongei chochote

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Conte hana mpira wowote zaidi ya kupaki bus na kutegemea natural striker ...

Flow ya mpira kama ya arteta &klopp lazima ucheze na false 9 ....na ndio imempa mafanikia klopp

Huwezi kuwa na natural striker harafu ucheze mpira kama ule ...

Pep na klopp baada ya kuachana na false 9 ,kuleta natural striker,Bado wanastruggle kwenye system...
Huna heshima hata kidogo, Conte mmemshindwa kabisa unakuja kuleta mpira mbovu hapa wenye kuboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom