synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,265
Wakuu Chernobyl Adama Traore atakuepo?
Mkuu tuna kikosi kipya tunatowa kipigo hadi mwisho wa msimu tuko nafasi ya pili kama siyo ya kwanza. Nyie subirini hapo hapo Mataito Contendaz😀😀😀Mchizi boti leo andaa kofia la chuma, maana unaenda kupigwa nyundo za kikatili na mijitu isio na huruma.
Hichi ndio kikosi cha leo?!
huwa naziogopa sana game za mapema, huwa zinamatokeo flani hiv usiyoyategemeaHuyo striker wa wapi tena?
Ruben Loftus-Cheek STARTS for Chelsea today.Haya matusi sasa. Huyo ni Sam Kerr striker wa timu ya Chelsea women na anafanya vizuri sanaHuyo striker wa wapi tena?
Mkuu hiki kkikosi sidhani kama ni chenyewe. Sam Kerr wanini hapo na ni striker wa Chelsea woman
yeah ila pale mbele imebidi tuazime strikerHichi ndio kikosi cha leo?!
tumezima maana juzi aliwafunga Westham goli 4-0 yeye mwenyewe, hapo vipi?Mkuu hiki kkikosi sidhani kama ni chenyewe. Sam Kerr wanini hapo na ni striker wa Chelsea woman
kajitahidi kumuweka Gallagher na Mount nje ila kwa Cucu na Havertz hadi afukuzweOur XI vs West Ham
Kepa
James Silva Badiashile Cucu
Enzo RLC
Madueke Felix Mudryk
Havertz
Kosi la ushindi hili. Game saa ngapi inaanzaSijui kwa nini hataki kumuanzisha Datro Fofana walau ampunguzie pressure Kai. Havertz kuanza kila mechi pia inamfanya asishtuke kama kuna mbadala wake na itamuharibia sana.
Anyways our starting eleven hiyoView attachment 2513637
1530Kosi la ushindi hili. Game saa ngapi inaanza
Tutafukua hili baada ya Chelsea kukusanya point 3 leo hii.Wagonga nyundo kesho wana jambo lao mapema tu mchana View attachment 2512294