Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Namtetea Potter kwa Cucurela over Chilwell. Chilwell akitoka majeruhi huwa anachelewa kurudi kwenye form tofauti na akina James na Kante
Ila kwa RLC sijui kaona nini
 
Nimeipenda hii

Felix hat trick, Mudryk double, Fofana goal, Madueke goal, 2 Enzo assists, a Reece James assist. West Ham 0:7 Chelsea. Dear God is this too much to ask for?
 
Huku ni sehemu nzuri sana ya kupunguza stress, tunawapenda wageni

Nimekuja kuwapa faraja ndugu zangu
Jiandaeni na kilio
Licha ya benchi kujaa kama kumbikumbi
JamiiForums994181140.jpg
 
Yaani Mudryk na Enzo ndio mesiya tuliokuwa tunawasubiri. They are ofensive minded. Wanaona nafasi kule kwenye final third kuliko wachezaji wengine. Akina Jorgninho na Kova walikuwa wanatupotezea muda
 
Cucurela kidogo atulize kwa kujisahau upande wake 25mins
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom