Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Problem is the coaching staff... hii hii team mpe Conte au Sarri uone
Usijaili usajili ujao tukisajili kiungo na striker tusisahau na kumsajili na kocha mpya
Natamani sana akina Boehly wangeanza kumtongoza Conte, huyu tu ndie atakeyleta matokeo mazuri kwa hiki kikosi
 
Lengo la kumpigia chapuo ni ili aonyeshe uwezo wake. Sasa tunavyozidi kwenda na anaonyesha hawezi basi hakuna namna nyingine apigwe red tu. Mimi Luis simuamini sana zaidi ya Conte kwa sababu pale Spusr hana raha kwa sababu hapewi wachezaji anaowataka
 
Na hiyo double pivot ndie ameizoea sana kule Benefica
4-2-3-1
3-4-2-1
4-2-2-2
 
Majibu ya Potter kuhusu Mudryk kutolewa

Was Mykhailo Mudryk injured?

No, he's had a heavy cold all week. We thought 60 would be his maximum but he felt heavy-legged at half time. We're still building him up in terms of his minutes because of the break he has had in his season so we thought 45 was about right for him
 
Kuhusu Auba kuondolewa UEFA

How was Pierre when you told him? How difficult was it?

Yeah, it was difficult because I am empathetic so I understand his disappointment but I've got a responsibility to make these tough decisions and to articulate them as honestly and as well as I can to the player and then respect the fact that he's going to be disappointed. He's handled it very well, trained today fantastically which is what I would expect. He's been a top guy for us.
 
"why timu haina madhara kabisa kwenye set pieces kona zinapigwa kama mpira wa shule ulioangukia barabarani alafu mpita njia anaupiga urudi uwanjani" [emoji849][emoji1]
 
Chelsea timu kubwa, usishangae huyo huyo Kocha wa Newcastle United ukimleta kwenye klabu ya Chelsea yakatokea yale yale ya Kocha Moyes aliyekuwa aking'aa sana akiwa Tottenham Hotspur lakini alipopelekwa tu kuinoa Man Utd alichemka balaa [emoji1]

Mzee Baba si kila Kocha bora ni kwaajili ya kuinoa timu kubwa halikadhalika si kila mchezaji mzuri ni kwaajili ya timu kubwa.

Rejea/References:

1. Coach Moyes from Everton to Man Utd.

2. Ross Barkley from Everton to Chelsea FC.
 
Mkuu Moyes alifundisha spurs ya wapi? Mngefungwa si ungesema Juma Mgunda alishafundisha Everton?
 
Sawa matajiri vilaza[emoji23]View attachment 2505754
Pesa zetu afu uwashwewashwe wewe Shabiki kilaza toka Arsepimbi.

Nani alikushikia bunduki kukulazimisha kushabikia timu yenye Mabosi Wapare na Waha/wabahili kupita maelezo hadi uje uteseke na matumizi ya pesa za Wanaume wenzio huku Stamford Bridge?

Pambana na hali yako, shida zako hazituhusu wazoefu wa mapesa mingi mingi [emoji23]
 

Nyie ni yule mtoto anayependwa sana na wazazi wake,anapewa kila kitu anachotaka, vitabu vyote anavyo, lakini bado anapata masifuri shuleni.

Usajili wote huo mnashindwa kumfunga Fulham?
​
 
Jurgen Klopp and Pep Guardiola had their say on transfers, do you know how it works and what are the implications of not making Champions League?

Yeah, I do and I think you've got to look at all in terms of an investment, in terms of transfer fees and salaries. Sometimes you can sign a player for less of a transfer fee but the salaries are enormous. It just depends how you structure the contract, how you structure the deal. We're confident with what we're doing, I think the club has done a good job. Now my job is to improve the team.
 
Moyes alikusanya sifa alipokuwa kocha wa Everton na akina Lukaku
 
Enzo anashoot kutokea mbali kitu ambacho mid zetu hazina.
 
Subiri Ngolo Kante apone acheze na Enzo kwenye Double pivot ndio utaujua moto wake.
 
Mkuu Moyes alifundisha spurs ya wapi? Mngefungwa si ungesema Juma Mgunda alishafundisha Everton?
Asante kwa kunikumbusha Chifu, madishi yetu wakati mwingine huchemka kwa kurundika vitu vingi sana na kuvichambua papo kwa hapo.

Au hujawahi kutafuta pesa ukijisachi kila mahali ilihali umeishika mkononi [emoji848]

"Mgunda" wanakuja Makolokolo malizana nao mwenyewe mi simo [emoji847]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…