Tulishasema mapema Potter sio kocha sahihi kwa hii timu msiweke matumaini yoyote kwakeKinachonichosha kwa Potter ni kukumbatia wachezaj ambao wanacheza vibaya
Havertz n Mount week in week out wanacheza vibaya ila cha ajabu bado wataendelea kuanza.
1.. bKwa nini wengine wakicheza vibaya anawaweka bench ila hao wawili utasema wanapicha zake za magendo[emoji16]
Kwa dakik 15 alizocheza Datro Fofana kafanya+ mengi kuliko dakika 90 alizocheza havertz.
Potter soon watu wataanza kutokuwa na imani nae kama ataendelea hivi hiv kuwa clueless na kukumbatia zile takatak 2
Ulijitahidi sana kuwambia humu ukweliMakubwa mkuu na wewe umeliona sasa hivi. Ulikua unantetea sana. Wakati nawaeleza kwamba huyu jama hawezi ku handle Chalsea
Sijacheki game siku nyingi sana kwani Chelsea tuko nafasi ya ngapi na nini kinaendelea? Hivi hata europa tutacheza kweli duh?!
Exactly the problem yesterday was from technical side i have no doubt on individual ability shown.. Our coach is so average, the summer signings were so enough but Chelsea spirit is lost players are also lamenting about coachingPotter is not a top coach.. needs to be replaced.. I think Chelsea's problem is the coach
Kweli kabisa, yani Auba kama angekuwa ni mwingireza hata acheze vibaya bado angepangwa na wala asingeondolewa kwenye kikosi cha UEFA.
Huwa nasema hiv Mount ndio star wa team ambae hapaswi kuwekwa bench.
Hajaanza kucheza vibaya leo, bali imekuwa kila gameweek.
Game ya mwisho ambaho hakucheza ilikuwa dhid ya city (league) na tulikuwa vizuri,
Ukiniambia mpk sasa kipi kinachomfanya Potter asimtumie Datro Fofana, sielewi maana mchezaj kila anapoingia anaonyesha kitu,
Jana kwa dakika 15 alizocheza kawapa tough game wale wakina Ream na Tete,
Ni tofauti na havertz miguu imekaa kama mlenda,
Oscar alikuwa soft ila hakuwa kama hivi Havertz.
Utaona wiki ijayo Mount na Havertz bado wanaanza
Mkuu mimi sikubahatika kuangalia game jana ila nimeona highlights kwakweli nakiri dogo kazingua sana jana. Nasema hivyo kwa sabab0u mimi ni kati ya wanaomtetea na huwa simtetei eti kwa sababu kafunga goli la UEFA hii ni sababu ya kipuuzi sana na inaashiria sisi sio watu wa kuwafatilia wachezaji kiufundi zaidi badala yake tunaangalia performance kwa wakati husika.Na wale wanaomtetea kisa goli la uefa nawashangaa
Summer signing were not enough, tuliacha tatua maeneo ambayo yanashidaExactly the problem yesterday was from technical side i have no doubt on individual ability shown.. Our coach is so average, the summer signings were so enough but Chelsea spirit is lost players are also lamenting about coaching
Mkuu mimi sikubahatika kuangalia game jana ila nimeona highlights kwakweli nakiri dogo kazingua sana jana. Nasema hivyo kwa sabab0u mimi ni kati ya wanaomtetea na huwa simtetei eti kwa sababu kafunga goli la UEFA hii ni sababu ya kipuuzi sana na inaashiria sisi sio watu wa kuwafatilia wachezaji kiufundi zaidi badala yake tunaangalia performance kwa wakati husika.
Mimi binafsi nimeanza kumjua Havertz misimu miwili kabla hajasajiliwa Chelsea so kiufundi namuelewa sana. Toka amekuja Chelsea hajawa na performance nzuri kama ile tunayoiona akiwa Leverkusen na hata anapochezea timu ya taifa. Tuniulize sababu ni nini? Kama kuna mtu ameangalia WC hii ya 2022 kati ya wachezaji wa Germany waliokuwa na perfomance nzuri ukiachana na Musiala basi Havertz naye yupo.
Kitu pekee nachoona kinamsumbua Havertz ni swala la kisaikolojia tu. Naona bado ana pressure kutaka kuprove wrong kwamba ile price tag yake imelipa. Lakini pia aina ya wachezaji wanaomzunguka kule Leverkusen alikua na wachezaji wengi wajurumani wenzake na hata timu ya taifa kazungukwa na kina Gnabry, Musiala, Sane, Muller hawa ukiacha kuwa ni wajerumani wenzake pia ni mafundi wanatengeneza spaces inamsaidia.
Zipo factor nyingi ila nachoona dogo anahitaji msaada wa psychology zaidi kuliko kiufundi. Tumeshaanza kupata wachezaji wazuri akijengwa akawekwa sawa naamini tutakua na yule Havertz wa B. Leverkusen na Alemania. Pia hili tatizo lishawahi kumkumba hata Kepa lakini naona saivi katulia.
I stand to be corrected.
Mountain[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mountain na Havertz ni Wapumbavu sawa na akina Sawanogo na Baleke wa Makolokolo, ila nimependa performance nzuri za Gallagher na Cucu leo wamepambana hatari
Bora Di mateo timu ilikuwa inacheza na magoli yalikuwa yanapatikana lakini huyu Potter hata goli 1 kupata ni shughuliNikikumbuka humu ndan kuna watu walikuwa wanampigia chapuo Potter nabaki naishiwa nguvu.
Tungeenda kwa Luis Enrique kwa project tuliyonao ni mtu sahihi.
Tunaweza kuwa na wachezaj wazuri ila wakakosa kocha, inanikumbusha wakat tuliokuwa na MaZaCa(Mata,Hazard,Oscar) kocha akawa Di mateo[emoji2357]
Mkuu naunga mkono hoja haswa ya uwezo wa kocha maana kaja na cheap notion kwamba anatengeneza timu kama kichaka alichokuwa anajifichia Lampard those days na mimi mwanzo nilikuwa naunga mkono.ni kweli kizuri kinahitaji muda sasa baada ya miezi 4 najaribu kuitafuta philosophy na pattern ya uchezaji ya mwalimu siioni yaani kocha gani hana identity ya uchezaji kwa mantiki hiyo huwezi kuwa na guts za kusema kwamba wachezaji fulani hawafai completely maana wanakosa muunganiko wa mawazo ya kiuchezaji. Kwa case ya Mount naona ni kama inayomkuta Trend Arnold ni wachezaji wazuri ila wametumika sana kwenye umri mdogo na haswa kwenye matumizi ya nguvu hiyo wanafatigue ya mwili na akili wanafaa tu kuwa na playing time ndogo kwa muda. Kingine, why timu haina madhara kabisa kwenye set pieces kona zinapigwa kama mpira wa shule ulioangukia barabarani alafu mpita njia anaupiga urudi uwanjaniMaoni yangu kuhusu mechi ya Jana.
Nimeona wengi wakilalamika kuhusu viwango vya mount, kai havert na Gallagher na wengine Ziyech, unapokuwa mchambuzi na mzoefu wa kuangalia mechi ni vizuri ukaangalia tatizo la msingi kwanza kabla ujaenda kwenye matokeo nilichoona Jana chelsea ilikosa identity ya uchezaji au kwa jina lingine tunasema pattern style of playing ikafanya chelsea itumie uwezo binafsi ya wachezaji kunapokosekana Muundo sahihi wa uchezaji utafanya hata baadhi ya wachezaji wasionekane hatari mfano mzuri ni Mudryk ule upande wake haukutumika kabisa mipira ilikuwa haifikii.
Tukija kwa hawa wachezaji wanaolalamikiwa kufanya vibaya tuanze Kai huyu jamaa ni bonge la mchezaji ila anachezeshwa sehemu isiyo sahihi hadi leo Kai namtazama kama mchezaji anayeweza kucheza kwenye no 10 ila sio striker sijui kwanini kocha halioni Hili? Mount katengeneza nafasi mbili za wazi Jana lakini watu wanamponda japo hatukuwa na Muundo mzuri wa uchezaji, Gallagher kajituma Sana lakini kuna sehemu anatakiwa awe improved na kocha hasa kwenye kwenye Technical ability, Ziyech japo kaathirika na Muundo mzima wa uchezaji wa jana lakini aliweza kutoa chance nzuri Sana kwa kai lakini haikutumiwa vizuri
NB: Tuna wachezaji wazuri Sana tumewasajili na wote wameonesha Wana kitu chakuoffer kwenye team hivi pata picha Enzo acheze na Kante au Kovacic pale Kati?
Binafsi naona solution ni kumfukuza kocha kabisa hakuna njia nyingine tofauti, Moja ya sababu kuu naona Potter hatufahi chelsea imekaa wiki mbili bila kucheza game yoyote Jana ndio wakaja kucheza unajiuliza hizo wiki mbili mbona ni nyingi walikuwa wanafanya nini? Kiasi ambacho unaona kabisa imecheza kama vile walikosa msimamizi mazoezini.
juan david
lembu
Covax
Cash Money Forever
johsee
Halafu huyu mbona kama mwanaume?!Nyie Kenge hivi mnajua leo usiku Haaland anakuja kulala na nyinyi kitandani kwenu?
Hakikisheni ikifika jioni muoge mapema, mjipake lotion, mjipulizie manukato halafu mvae kile kiwalo chenu cha kufunga na kamba. View attachment 2469642
Oscar alikuwa anakaza kuliko huyu Havertz, pia Oscar alikuwa mwepesi sana na maamuzi ya akili usimfananishe kabisa na Havertz.Kweli kabisa, yani Auba kama angekuwa ni mwingireza hata acheze vibaya bado angepangwa na wala asingeondolewa kwenye kikosi cha UEFA.
Huwa nasema hiv Mount ndio star wa team ambae hapaswi kuwekwa bench.
Hajaanza kucheza vibaya leo, bali imekuwa kila gameweek.
Game ya mwisho ambaho hakucheza ilikuwa dhid ya city (league) na tulikuwa vizuri,
Ukiniambia mpk sasa kipi kinachomfanya Potter asimtumie Datro Fofana, sielewi maana mchezaj kila anapoingia anaonyesha kitu,
Jana kwa dakika 15 alizocheza kawapa tough game wale wakina Ream na Tete,
Ni tofauti na havertz miguu imekaa kama mlenda,
Oscar alikuwa soft ila hakuwa kama hivi Havertz.
Utaona wiki ijayo Mount na Havertz bado wanaanza
Arsepimbi unateseka na kukonda ukiwa katika mkao upi? [emoji4]Maneno matatu kwa Enzo
Overhyped
Overpayed
Overrated
Gallagher jana alipambana sana mi namtetea kwakweli yani kila sehemu alikuwa akikaba na ku-press mipira kwa kasi sana kama ile nafasi aliyoichopu kwenda kwa Fofana.Kwenye Youtube mashabiki wanawalalamikia wachezaji wanne hivi
Wanasema hao wachezaji hawakutakiwa kuanza kabisa
- Ziyech
- Gallagher
- Cucurella na
- Havertz
Shabiki Kilaza hilo toka Arsepimbi [emoji16]OK nakusamehe bure kwa sababu ninyi ni wale wa kuambia na kukimbilia kwenye mitandao kutapika
Ungeangalia hii mechi jana, usingeongea utumbo kama huu