Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu kocha wa Benefica ( Roger Schmidt) anapenda sana kulaumu eh
Kwanza alitulipua kwenye media
Sasa anamlipua Enzo
 
ETI HII NIKWELI?

Hakim Ziyech ameshindwa kujiunga PSG ili acheze na Neymar, Mbappe na Messi baada ya viongozi wa Chelsea kutuma Documents fake kwa PSG na PSG kila walipouliza Chelsea juu ya documents original bado Chelsea waliendelea kutuma documents zile zile ambazo kuna vitu vingi havipo
Naskia tena kulikuwa na shida LFP kwenye system zao kwa hiyo wamekata rufaa,wakishinda deal litakamilika
 
Mi naamini hawa wachezaji kwa style wanayofos kusajiliwa kuna jambo nyuma ya pazia Kina Boehly walienda wakawapa hawa watoto hela alaf watoto wakaomba kuhama
Project mkuu, mchezaj akishaelezwa project ya team jinsi ilivyo na akaona kabisa inamfaa hawez chomoa
 
Project mkuu, mchezaj akishaelezwa project ya team jinsi ilivyo na akaona kabisa inamfaa hawez chomoa
Halafu hao wachezaji sio wao ndio wanaamua, wana kitu inaitwa kambi, kambi ni mchanganyiko wa wataalamu mbali mbali ambao kwa pamoja wanamshauri mchezaji ili achukue maamuzi sahihi kwa faida yake na ya kambi yote
 
Chelsea killer squad next season
1675247882338.jpg
 
THE BLUES tumetisha dirisha la usajili January.

Hongereni Matajiri, bench la ufundi, wachezaji na mashabiki.

Haiwezekani THE BLUES ikakaa misimu 2 bila kubeba kombe ni mwiko.

Nyoosheni mikono mbele, msimu ujao tuendeleze utamaduni wetu wa kunyanyua makombe kila msimu. View attachment 2502031
Nkunku wap
 

From Fabregas to Fernandez: World Cup winners Chelsea have signed​

Wachezaji walioshinda kombe la dunia na makombe mengine makubwa wakiwa ndani ya Chelsea au kuhamia chelsea baada ya kushinda

2023 = Enzo Fernandez
Enzo Fernandez ni kiungo wa kimkakati aliyeiwezesha Argentina kushinda kombe la dunia la 2022 nchini Qatar
Enzo alishinda nishani ya mchezaji bora mchanga wa FIFA, 2022.
Yeye anakuwa mchezaji wa 9 wa Chelsea kushinda kombe la dunia na kuichezea Chelsea,
Enzo-Fernandez-World-Cup-awards.jpg

Hawa walishinda kombe la dunia wakiwa ndani ya Chelsea
  1. Marcel Desailly,
  2. Frank Leboeuf,
  3. Andre Schurrle,
  4. N’Golo Kante
  5. Olivier Giroud
Hawa wengine hapa chini walishinda Kombe la dunia wakiwa bado sio wachezaji wa Chelsea akiwemo Enzo Fernandez

1998 – Deschamps and Petit
Baada ya kutoka kubeba kombe la dunia Didier Deschamps na Emmanuel Petit walihamia kutokea Juventus
petit-deschamps-1998-world-cup.jpg

2002 – Belletti
Juliano Belletti aliichezea Brazil 2002 ikabeba kombe la Dunia. 2004 na baadaye akahamia Barcelona ambapo goli lake liliifanya Barcelona kuwa mabingwa wa UEFA kwenye fainali waliocheza dhidi ya Arsenal
belletti-2002-world-cup-brazil.jpg

2010 – Fabregas, Torres, Mata and Pedro
Wote hao waliiwezesha Spain kushinda kombe la dunia kwa mara ya kwanza
Alianza kusajiliwa Toress, miezi kadhaa akaja Juan Matta na baadaye mzee wa assists, Fabregas alifuata 2014. Fab ndie aliyempa asists iniesta alipofunga goli la ushindi la Spain kwenye fainali. Wote Fab na Pedro walitokea Batcelona
torres-mata-munich.jpg
 
Mount & Harvetz waamke usingizini wapambane kweli kweli kwa miezi 6 iliyobaki ya kumaliza msimu 2023.

BOEHLY na EGHBALI hawa matajiri wako serious kwenye kujenga timu ya ushindi, hawakawii kufanya maamuzi magumu juu yao endapo wataendeleza upuuzi uwanjani.

By the way Nkunku yuko njiani anakuja.
Asante Mendy umetupa UEFA lakini samahani hutaweza tena kuvaa viatu vya kizazi kipya
 
Chelsea wanarushusiwa kusajili wachezaji watatu tu kucheza UEFA knock out stage kati ya wachezaji nane waliosajiliwa January hii
Malo Gusto hatakuwepo kwa sababu yuko mkopo Lyon
Andrey Santos naye haruhusiwi kuwepo kwa sababu bado hana permit ya kuchezea Chelsea
Kwa hiyo wanabakia sita wenye kibali cha kuichezea Chelsea na katika hao Chelsea wanatakiwa kuwachagua tu watatu kati ya hawa
  1. Enzo Fernandez,
  2. Mykhaylo Mudryk,
  3. Joao Felix,
  4. Benoit Badiashile,
  5. Noni Madueke
  6. David Datro Fofana.
Kwa maoni yangu tuwachukue hawa
1) Enzo Fernandez
2) Makhailo Mudryk
3) Benoit Badiashile
 
Chelsea wanarushusiwa kusajili wachezaji watatu tu kucheza UEFA knock out stage kati ya wachezaji nane waliosajiliwa January hii
Malo Gusto hatakuwepo kwa sababu yuko mkopo Lyon
Andrey Santos naye haruhusiwi kuwepo kwa sababu bado hana permit ya kuchezea Chelsea
Kwa hiyo wanabakia sita wenye kibali cha kuichezea Chelsea na katika hao Chelseawanatakiwa kuwachagua tu watatu kati ya hawa
  1. Enzo Fernandez,
  2. Mykhaylo Mudryk,
  3. Joao Felix,
  4. Benoit Badiashile,
  5. Noni Madueke
  6. David Datro Fofana.
Kwa maoni yangu tuwachukue hawa
1) Enzo Fernandez
2) Makhailo Mudryk
3) Benoit Badiashile
Hata mimi nilikua na maoni sawa na yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom