Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila Chelsea wawe makini tu maana hii mikataba ya 8 years ni kukwepa sheria za UEFA Financial Fair Play ambazo ni lazima timu isitumie zaidi ya mapato. Sasa Chelsea wanagawa pesa za usajili kwa miaka 8 ili wakwepe kufungiwa lakini project hii kama ikibuma watapata wakati mgumu sana.
Loophole imeshatumiwa vizuri hata wakija kubana sisi tumeshapita huko
Halafu approach ya Barcelona ndio dangerous kwnai mapato yakipungiua ni kama wao walikopa, watalipaje?
Sisi hatujakopa, tumetawanya tu. Hatari tu itakayotokea ni kule mbele kukosa nguvu na fursa ya kuwasajili wachezaji wengine kwa uhuru kama dirisha hili
 
Kuna taarifa za interested tu, hajaondoka, labda last minutes, ila mimi ningependa wakati hatuna striker wa uhakika apate nafasi ya kujionyesha kuwa anaweza
Hata mimi binafsi naona kama kocha atamuamini atatusaidia Sana kuliko kai havert
 
Loophole imeshatumiwa vizuri hata wakija kubana sisi tumeshapita huko
Mmeitumia vizuri nafasi ila ni lazima hawa wachezaji wafanye vizuri la sivyo huko mbeleni mnaweza kuwa na kikosi kikubwa cha wachezaji ambao hawauziki na wanapokea mishahara mikubwa. Hawa wachezaji wanaweza wakafanya vizuri hata 4 years consecutive ila viwango vikishuka bado wengi watakuwa na miaka ya kutosha.
 
Ivi jamani ziyech pale psg anaenda kuchukua nafasi ya nani kwanza nicheke
Ziyech ni mzuri usimuunderrate, Chelsea tu hakuwa na amani, labda kwa sababu ya kutopewa muda wa kutosha, hasa alimkasirikai sana TT
 
Mmeitumia vizuri nafasi ila ni lazima hawa wachezaji wafanye vizuri la sivyo huko mbeleni mnaweza kuwa na kikosi kikubwa cha wachezaji ambao hawauziki na wanapokea mishahara mikubwa. Hawa wachezaji wanaweza wakafanya vizuri hata 4 years consecutive ila viwango vikishuka bado wengi watakuwa na miaka ya kutosha.
wait and see, tusiandikie mate, kila kitu well planned.
 
Mmeitumia vizuri nafasi ila ni lazima hawa wachezaji wafanye vizuri la sivyo huko mbeleni mnaweza kuwa na kikosi kikubwa cha wachezaji ambao hawauziki na wanapokea mishahara mikubwa. Hawa wachezaji wanaweza wakafanya vizuri hata 4 years consecutive ila viwango vikishuka bado wengi watakuwa na miaka ya kutosha.
Baba apa kinachofata ni fagio tu
 
Ukibuma huu usajili tutacheka sana
IMG_20230201_022139_210.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom