Ungemuongeza na Kante HapoWafaransa ndani ya Chelsea, je unadhani wataleta impact kubwa kwenye matokeo na makombe
View attachment 2499191
Ungemuongeza na Kante HapoWafaransa ndani ya Chelsea, je unadhani wataleta impact kubwa kwenye matokeo na makombe
View attachment 2499191
Kante wamtafutie mrithi(mbadala) wake maana naona naye kashakuwa chronic injury player, labda ni sababu kipindi cha nyuma alitumia nguvu kubwa sana na umri unamtupa mkono sasa hivi.Hivi mfano ukamuuza mount ukamsajili jao felix akawa kama no 10 una hasara gani? Inamaana hapo mbele itakuwa
Nkuku.
Mudryk. Felix. Madueke
Kante. Enzo/Caicedo.
Chilwell. Thiago. Benoit. James.
Nachompendea Kante hata akirudi haitaji muda arudi kwenye kiwango chakeKante wamtafutie mrithi(mbadala) wake maana naona naye kashakuwa chronic injury player, labda ni sababu kipindi cha nyuma alitumia nguvu kubwa sana na umri unamtupa mkono sasa hivi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Go back to school you fucker, unifundishe nini we masai!Unaongea lugha gani? Unaweza kuwa na pount hapa ila hiyo "utamisprofile" haijawekwa kwenye kamusi bado.
Usikariri wewe Arse8, tambua Chelsea huwa ina bahati na makombe ni muda tu ndiyo utakaokuumbua, jifunze kuwa na akiba za maneno.Kusajili na kufanya vizuri Ni vitu viwili tofauti ndio maana Bado mpo Nafasi ya 10 na mnaweza kushuka zaidi
Toka kuwa Arsepimbi hadi kuwa Mtabiri uchwara, kweli dunia inakimbia kwa kasi sana [emoji16]Ukweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje
Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
What a load of nonsense! Ni shabiki wa Cheltako tu anayeona Makele na Kante wanaweza kucheza pamoja, ni uelewa mdogo mno wa mpira, ila hatushangai ni timu ya 2005 hii.[emoji3]Makelele na Kante best partnership ukuta wa Berlin, Makelele ana stick deeper kuzuia mashambulizi huku Kante akifanya doria Uwanja mzima wa kukata visiki
Ana wivu sana na sisisiku tukimsajili Enzo Fernandez halafu tukampa mkataba wa miaka 10, Garry Nevile atakimbizwa hospitalini kwa presure
![]()
Timu yako yenye mfumo unaoeleweka ndani ya miaka 10 iliyopita ina nini cha kujivunia kulinganisha na timu isiyokuwa na mfumo? Kama huna jibu jipige kifuani useme mimi na roho mbaya,husda na wivu ni pete na kidoleUkweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje
Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
Timu yako yenye mfumo unaoeleweka ndani ya miaka 10 iliyopita ina nini cha kujivunia kulinganisha na timu isiyokuwa na mfumo? Kama huna jibu jipige kifuani useme mimi na roho mbaya,husda na wivu ni pete na kidole
Huyu jamaa huwa yuko bias sana, kama ingekuwa man utd ndio anasajili hivi angekuwa anawasifu wamiliki kwa kuonesha ambitionsiku tukimsajili Enzo Fernandez halafu tukampa mkataba wa miaka 10, Garry Nevile atakimbizwa hospitalini kwa presure
![]()
Yes I am a fucker because of your naked ArseanalGo back to school you fucker, unifundishe nini we masai!
Hivi Bado Kuna watu wa chelsea mnaamini kante akirudi aanze kukimbizana Tena?Nachompendea Kante hata akirudi haitaji muda arudi kwenye kiwango chake
Kwani wewe shida yako ni nini? Na akikiwasha utakuwa na majibu?Hivi Bado Kuna watu wa chelsea mnaamini kante akirudi aanze kukimbizana Tena?
Yes I am a fucker because of your naked Arseanal