Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

JamiiForums1581322463.jpg
 
Parody hiyo account, mnaokota tu vitu bila hata kuangalia.
Hii sio Parody mkuu, imetrend sana hii ni wewe tu uko nyuma ya habari.

Hiyo wametoa kwenye account yake ya instagram ni ya kweli kabisana ndio iliyowafanya Brighton leo wamsimamishe mazoezi hadi dirisha lifungwe

Screenshot ya Intagram yake hii hapa na link pia


1674914322853.png
 
Hizo pesa walizopata Leicester city wamezipeleka wapi, wao wamnunue mchezaji o.5M halafu wamuuze 68m
1674923397962.png
 
Hii sio Parody mkuu, imetrend sana hii ni wewe tu uko nyuma ya habari.

Hiyo wametoa kwenye account yake ya instagram ni ya kweli kabisana ndio iliyowafanya Brighton leo wamsimamishe mazoezi hadi dirisha lifungwe

Screenshot ya Intagram yake hii hapa na link pia


View attachment 2498419

Uyo dogo analipwa pound afutatu tu kwa wiki..!! Aise ata kaa ni mimi nimepata ilo li chansi la kwenda Chelsea au kule arse8 aise siliachi. Sasa itakuwaje Briton watampiga adhabu kwa kutamka ivo hadharani?!
 
Kusajili na kufanya vizuri Ni vitu viwili tofauti ndio maana Bado mpo Nafasi ya 10 na mnaweza kushuka zaidi
Sisi injury zinatucost hata hao wachezaji wengi tuliowasajili ni kutokana na kuwa na injuries nyingi ukiacha na kuwa na project.
List ya injuries wetu
1.James
2.Kante
3.kovacic
4.Benchilwel
5.Pulisic
6.Zakaria
7.sterling

Hawa ni wachezaji wetu na wote wapo hospital ulitegemea tuwe kwenye nafasi gani? Wing wa kulia na kushoto zimeumia Pulisic na sterling upande wa Pulisic hatuna mbadala atlest kwa sterling kuna Ziyech , ukija upande wa james hatuna mbadala kabisa zaidi ya kuwa na babu Alzipilicueta, kiungo Cha Kati amebaki Jorginho hakuna option na akiumia huyo kitachofanyika ni kubadilisha wachezaji kwenye nafasi zao halisi ili wacheze kiungo Cha Kati kwa namna hiii ndio maana tumeingia sokoni na target yetu ya mwisho ni kusajili kiungo Cha Kati. Na sisi tiny yetu imejenga na hawa wachezaji watatu wakiumia hao tu chelsea lazima uyumbe Sana na hao ndio waliochangia kututoa kwenye reli ya kuwania ubingwa msimu ulipita baada ya kupata injury ni Reece James, Ngolo Kante na Benchillwel ndio maana boss anasajili kwenye wachezaji wamaana kwenye nafasi zao ili hata wakiumia kusiwe na daraja kubwa Kati yao na wao wapya moto uwe ule ule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom