Habari kama hii inafariji Sana huyu ndio funga kazi huyu ndio mchezaji tunayemuhitaji zaidi kuliko tunaohusishwa nao cos kwa aina ya uchezaji wetu tunahitaji midfielder ambaye atakuwa anapiga forward pass na kuchua mipira chini kupandisha juu kuna wakati tunawalaumu mabeki wetu wanapiga back pass nyingi kwasababu wanakosa aina ya midfielder ya mtu kama Enzo anayeweka kuwapa bima ya ulizi pamoja kuwa kiunganishi wa Kati na safu ya mbele.Jorginho ni mchezaji mzuri lakini ni muoga wa kupiga forward passess ndio maana umpira unarudi nyuma Mara nyingi, kama tukimpata Enzo atatufaa Sana na kingine jamaa anauwezo wa kupiga long pass na kushootingMambo sio mabay
Wakina Viveli wako kazini kuhakikisha Enzo anatua darajani at all costs
Ila bado tutahitaji natural defensive midfielder kwa sababu Enzo stats zake nyingi ziko vizuri kwa upande wa offensive department. Type ya Makelele mchanga tutamuhitaji dirisha lijaloHabari kama hii inafariji Sana huyu ndio funga kazi huyu ndio mchezaji tunayemuhitaji zaidi kuliko tunaohusishwa nao cos kwa aina ya uchezaji wetu tunahitaji midfielder ambaye atakuwa anapiga forward pass na kuchua mipira chini kupandisha juu kuna wakati tunawalaumu mabeki wetu wanapiga back pass nyingi kwasababu wanakosa aina ya midfielder ya mtu kama Enzo anayeweka kuwapa bima ya ulizi pamoja kuwa kiunganishi wa Kati na safu ya mbele.Jorginho ni mchezaji mzuri lakini ni muoga wa kupiga forward passess ndio maana umpira unarudi nyuma Mara nyingi, kama tukimpata Enzo atatufaa Sana na kingine jamaa anauwezo wa kupiga long pass na kushooting
Enzo anakaba Sana mkuu labda ukumfuatilia vizuri kombe la dunia sema ni aina ya midfielder kama Kante atulii sehemu Moja atakuwa chini, atamove Kati na akipata upenyo zaidi anasaidia mbeleIla bado tutahitaji natural defensive midfielder kwa sababu Enzo stats zake nyingi ziko vizuri kwa upande wa offensive department. Type ya Makelele mchanga tutamuhitaji dirisha lijalo
Enzo sio kwamba hakabi, ila ukilinganisha nauwezo wake kwenye offensive kwenye defending ziko nyingi kwenye 70's, 50, 40, 30%. Mfano loose ball recovering iko 43% interception 34.5%Enzo anakaba Sana mkuu labda ukumfuatilia vizuri kombe la dunia sema ni aina ya midfielder kama Kante atulii sehemu Moja atakuwa chini, atamove Kati na akipata upenyo zaidi anasaidia mbele
Kasoro weweMtasajili mpaka dunia nzima nyie ila mkija uwanjani utumbo tu [emoji23]
Kante wewe humjui hata kidogo, kajadili akina Partey, hao ndio wewe unawamaster, nategemea Kante ataongeza form yake zaidi kwenye miaka kati ya 31-33. He is strong, energetic and more experience than everHivi Bado Kuna watu wa chelsea mnaamini kante akirudi aanze kukimbizana Tena?
Hahaaaaa, jamaa sijui umewaza nini?!!!😁😀😁View attachment 2499583
Cheltako chelwowo cheljuma lokole chelzoazoa
Hata mimi imebid nicheke, kaiedit vizur😂😂😂Hahaaaaa, jamaa sijui umewaza nini?!!!😁😀😁