Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aende akajinoe huko, jeshi la mwaka kesho
Screenshot_20230128-080921_Chrome.jpg
 
Pengine ndio makubaliano ya mauzo labda isingekua ivyo biashara ingekua mgumu kufanyika
Gusto alikuwa ni mchezaji wao muhimu kwenye ti.u hasa kwa kumalizia msimu. Kocha hakuwa tayari kumpoteza kama walivyo makocha wote hawataki kumpoteza mchezaji muhimu katikati ya msimu. Uongozi walimuahidi hivyo. Anyway it is good for both parties. Tutabanana na Azpi na Chalobah wakati Reece yuko majeruhi hadi msimu uishe. Ila ukweli ni kwamba msimu ujao tutakuwa na bonge la timu hasa Kante akiwa mzima na Enzo ak8sajiliwa.
 
Wampe anachotaka na uhakika kama anaondoka tutarudi kwenye story zilezile za kina KDB na Salah
Mimi binafsi siungi mkono
Labda kama ni 150,000/week
Ila 250,000/week anayolipwa james NO
James ni game changer na anastahili kabisa hiyo
Mount ni mzuri ila hana consistence na ndio anayesababisha timu inaingia sokoni
Ni salama kwa timu akilipwa sio zaidi ya 150K kama tena ingekuwa 120k ingekuwa bora zaidi. Sasa hivi analipwa 80k
 
Hivi mfano ukamuuza mount ukamsajili jao felix akawa kama no 10 una hasara gani? Inamaana hapo mbele itakuwa

Nkuku.

Mudryk. Felix. Madueke

Kante. Enzo/Caicedo.

Chilwell. Thiago. Benoit. James.
 
Comparing Midfielders this season so far

Goals
Alexis Mac Allister – 5
Jude Bellingham – 3
Enzo Fernandez – 1
Declan Rice – 1
Moises Caicedo – 1
Romeo Lavia – 1

Assists
Enzo Fernandez – 3
Jude Bellingham – 2
Declan Rice – 2
Moises Caicedo – 1
Alexis Mac Allister – 0
Romeo Lavia – 0

Minutes per goal or assist
Alexis Mac Allister – 257.0
Jude Bellingham – 270.0
Enzo Fernandez – 280.0
Declan Rice – 540.0
Romeo Lavia – 623
Moises Caicedo – 714

Chances created per 90 minutes
Enzo Fernandez – 2.0
Declan Rice – 1.2
Moises Caicedo – 1.1
Jude Bellingham – 1.0
Alexis Mac Allister – 0.9
Romeo Lavia – 0.4

Successful dribbles per 90 minutes (success rate)
Jude Bellingham – 2.0 (46.5%)
Romeo Lavia – 1 (53%)
Declan Rice – 0.6 (50%)
Alexis Mac Allister – 0.7 (44.4%)
Enzo Fernandez – 0.3 (33%)
Moises Caicedo – 0.3 (35.7%)

Passes per 90 minutes (passing accuracy)
Enzo Fernandez – 106.7 (89.3%)
Declan Rice – 61.4 (90.4%)
Moises Caicedo – 58.6 (87.7%)
Alexis Mac Allister – 58.2 (88.9%)
Jude Bellingham – 51.9 (82.5%)
Romeo Lavia – 40 (87.7%)

Successful tackles per 90 minutes (success rate)
Jude Bellingham – 3.2 (91.4%)
Moises Caicedo – 3 (85.5%)
Declan Rice – 2.3 (89.1%)
Enzo Fernandez – 2.2 (62.9%)
Romeo Lavia – 2.2 (71.4%)
Alexis Mac Allister – 1.6 (81.8%)

Shots per 90 minutes (inside penalty area)
Enzo Fernandez – 2.2 (0.5)
Jude Bellingham – 2.1 (1.1)
Declan Rice – 1.2 (0.2)
Alexis Mac Allister – 1.1 (0.7)
Moises Caicedo – 0.8 (0.2)
Romeo Lavia – 0.6 (0.0)
 
Mshahara wa Caicedo wa mwaka uko sawa na mshahara wa wiki wa Cucurella
Duniani hakuna usawa na bado hao washenzi wanamzuilia asiende kwenye nchi ya ahadi
Kumbe ndio maana Caicedo analia na kwa sauti ya umaskini
Miaka mitano analipwa Paundi 910,000
Kwa mwaka analipwa paundi 182,000
Kwa wiki ni sawa na 3,500
Wakati akienda Arsenal au Chelsea atalipwa sio chini ya paundi 100,000/wiki ambayo ni sawa na mara 30 ya mshahara anaolipwa Brighton
Huyu dogo aje Chelsea tumtoe kimaisha,
FnjXkomXoAIlVpg

Icon_sipausa_43058754.jpg
 
Gusto alikuwa ni mchezaji wao muhimu kwenye ti.u hasa kwa kumalizia msimu. Kocha hakuwa tayari kumpoteza kama walivyo makocha wote hawataki kumpoteza mchezaji muhimu katikati ya msimu. Uongozi walimuahidi hivyo. Anyway it is good for both parties. Tutabanana na Azpi na Chalobah wakati Reece yuko majeruhi hadi msimu uishe. Ila ukweli ni kwamba msimu ujao tutakuwa na bonge la timu hasa Kante akiwa mzima na Enzo ak8sajiliwa.
Kama ambavyo saiv BHA wanabana kwa Caicedo
 
Mimi binafsi siungi mkono
Labda kama ni 150,000/week
Ila 250,000/week anayolipwa james NO
James ni game changer na anastahili kabisa hiyo
Mount ni mzuri ila hana consistence na ndio anayesababisha timu inaingia sokoni
Ni salama kwa timu akilipwa sio zaidi ya 150K kama tena ingekuwa 120k ingekuwa bora zaidi. Sasa hivi analipwa 80k
Hawawezi kufikia paundi 250k ila at least wamvute mpaka 180-190k hapo kama ataonyesha kiwango kizuri anaweza kurenew contract hata misimu miwili kabla ya huu kuisha na akapata mshahara mzuri zaidi.
 
Mshahara wa Caicedo wa mwaka uko sawa na mshahara wa wiki wa Cucurella
Duniani hakuna usawa na bado hao washenzi wanamzuilia asiende kwenye nchi ya ahadi
Kumbe ndio maana Caicedo analia na kwa sauti ya umaskini
Miaka mitano analipwa Paundi 910,000
Kwa mwaka analipwa paundi 182,000
Kwa wiki ni sawa na 3,500
Wakati akienda Arsenal au Chelsea atalipwa sio chini ya paundi 100,000/wiki ambayo ni sawa na mara 30 ya mshahara anaolipwa Brighton
Huyu dogo aje Chelsea tumtoe kimaisha,
FnjXkomXoAIlVpg

Icon_sipausa_43058754.jpg
Ndio maana na yeye anaforce transfer ila kwa namna nionavyo naona Arsenal ndio watamchukua maana toka ile bid ya £ 55M ikataliwe tumekaa kimya na Arsenal wameweka £ 60M.

Hapo BHA wanameikataa ya Arsenal ili kusikilizia Chelsea atakujaje maana sisi ndio tuna shida zaidi ya kiungo mkabaji
 
Tunasubiri tutumie style na speed ya Mudryk ya counter attack. We subiri uone
 
Siku chache kabla ya hii taarifa Lukaku alimukuliwa na chombo cha habari akisema hataki kurejea tena Starmford Bridge anatamani aendelee kubaki Inter. Juzi zimetoka taarifa Inter wenyewe hawataki kumuongezea tena mkataba wa mkopo mbali ya kumnunua kabisa labda kama ata improve performance yake na aombe majeraha yakae mbali.

Huyu atarudi Everton akacheze Championship
Screenshot_20230128-104446_1674892947309.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom