Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Ukweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje

Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
 
Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Unaongea lugha gani? Unaweza kuwa na pount hapa ila hiyo "utamisprofile" haijawekwa kwenye kamusi bado.
 
Ukweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje

Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
Wakati wa TT na huko nyuma walikuwa wanasajili kiholela au walikuwa hawajengi mfumo au mifumo inayoeleweka
Usajili wa January naona mfumo unajengwa
Mbele tayari ni 3-1
Nahisi katikati ni CM wawili na backline ni 4
So GP atakuwa akitumia zaidi 4-2-3-1
Au 343 kwa sababu tuna wing-backs wazuri
 
Sisi injury zinatucost hata hao wachezaji wengi tuliowasajili ni kutokana na kuwa na injuries nyingi ukiacha na kuwa na project.
List ya injuries wetu
1.James
2.Kante
3.kovacic
4.Benchilwel
5.Pulisic
6.Zakaria
7.sterling

Hawa ni wachezaji wetu na wote wapo hospital ulitegemea tuwe kwenye nafasi gani? Wing wa kulia na kushoto zimeumia Pulisic na sterling upande wa Pulisic hatuna mbadala atlest kwa sterling kuna Ziyech , ukija upande wa james hatuna mbadala kabisa zaidi ya kuwa na babu Alzipilicueta, kiungo Cha Kati amebaki Jorginho hakuna option na akiumia huyo kitachofanyika ni kubadilisha wachezaji kwenye nafasi zao halisi ili wacheze kiungo Cha Kati kwa namna hiii ndio maana tumeingia sokoni na target yetu ya mwisho ni kusajili kiungo Cha Kati. Na sisi tiny yetu imejenga na hawa wachezaji watatu wakiumia hao tu chelsea lazima uyumbe Sana na hao ndio waliochangia kututoa kwenye reli ya kuwania ubingwa msimu ulipita baada ya kupata injury ni Reece James, Ngolo Kante na Benchillwel ndio maana boss anasajili kwenye wachezaji wamaana kwenye nafasi zao ili hata wakiumia kusiwe na daraja kubwa Kati yao na wao wapya moto uwe ule ule
Wako 9
Broja na Mendy
 
Benefica wako mbioni kuongeza Release Clause ya Enzo hadi Eur 150M

Ili kuwazuia kabisa Chelsea wasimchukue Enzo, Benefica wameamua kuongeza Release clause yake kutoka Eur 120M hadi Eur 150M. Lengo lao kubwa ni kuhakikisha Enzo anabakia hadi dirisha la kiangazi huku wakitegemea vita vya kumnunua vitakuwa vikubwa na wao watakuwa wanufaika.

0_Enzo-Fernandez.jpg
 
Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Mpaka mchezaji anasajiliwa timu flan ameshaelezewa mambo mengi kuhusu hyo timu mpya ikiwemo project Ya timu, mfumo atakaocheza pmj na vitu vingine vichache km hvyo...wewe Ndugu yetu upo zako matombo na unajifanya unajua zaidi ya kina vivell na potter unaona atamisplofile cjui ndo kilugha gan hicho [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom