Mpaka jumanne watakuwa wamelegea
Caicedo kabadili had wakala ili asepe
Sikuwa na wasiwasi na usajili wa Malo Gusto, anyway usajili ndio wa muhimu tukutane 1 July 2023 pamoja na NkunkuChelsea wamefikia makubiliano na lyon dhid ya Malo Gusto kwa ada ya €30m. Gusto atajiunga na chelsea majira ya kiangazi.
Tumebakiza kiungo sasa, mmoja sasa hiv mwingine summer.Sikuwa na wasiwasi na usajili wa Malo Gusto, anyway usajili ndio wa muhimu tukutane 1 July 2023 pamoja na Nkunku
Edited, hiyo on loan... imeongezwaWikipedia hawalaliView attachment 2497688
Lyon walikataaOya kwanini asingesajiliwa kwenye dirisha Hili ili achexe msimu Huu kuliko kusubiri msimu ujao maana Reece james ni injury prone ebu tupeni ufafanuzi
Ni 19. Sorry nilikosea16? au 19?
Wampe anachotaka na uhakika kama anaondoka tutarudi kwenye story zilezile za kina KDB na SalahTetesi ni kwamba Liver wanamtaka
Anaondoka kwa mazingira ya kushindwa kukubaliana malipo, yeye kaweka benchmark akina James
Boehly vision yake ni kupunga wachezaji wanaolipwa sana na hawaisaidii timu kupata matokeo
Akikubali mkataba atabaki ila akikataa atauzwa kabla contract yake haijaisha asiondoke bure
Atabaki kwa mkopo mpaka mwezi June ndio atakuja DarajaniEdited, hiyo on loan... imeongezwa
Pengine ndio makubaliano ya mauzo labda isingekua ivyo biashara ingekua mgumu kufanyikaOya kwanini asingesajiliwa kwenye dirisha Hili ili achexe msimu Huu kuliko kusubiri msimu ujao maana Reece james ni injury prone ebu tupeni ufafanuzi