Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ulimaanisha Mount Au!
Hapana, anajaribu kuonesha Silva age yake na msim uliopita kacheza game nyingi tu katika kiwango kile kile. Na msimu huu yuko vile vile tena ndio anazidi kuperform.

Njok sasa kwa mount kusema kigezo sijui kacheza game nyingi msimu uliopita ndio kifanye ashuke performanc yake hapana
 
Yaani weka hawa

  1. Silva
  2. Kante
  3. James
Sioni wachezaji wenye quality zaidi yya hao watatu kwa wale wa zamani

Na kipimo ni ujio wa Badiashile na Mudryk

Waliosajiliwa kiangazi
  1. Sterling - Avarage- kashachuja
  2. Cucurella - hatumii akili
  3. Koulibally - mfumo umemkataa
  4. Wesley Fofana - Hajapata muda wa kucheza
  5. Chunkwuemeka - mzito wa kuamua
  6. Aubameyang - yuko yuko tu
  7. G Slonina - Hajapewa nafasi
  8. Denis Zakaria - Just Avarage - japo anaonyesha akizoea ana composure nzuri na mpira kuliko viungo tulio nao
January signings
  1. Mudryk - very supperb - pace 100%, akili 100%, speed 100%, ball controll 100%, passing 100%
  2. Badiashile - Supperb
  3. Datro Fofana - bado hajapata muda wa kutosha kuonyesha uwezo wake
  4. Madueke - Bado hajacheza
  5. Santos - Bado
  6. Joao Felix - Supperb
So to say, line up yetu ya first 11 ni

---------------- Striker bado--------------------------

Mudryk ----------------- Felix------------------- Bado

------------- Bado --------------- Kante ------------

Bado ----------- Badiashile -------- Silva --------- James

---------------- Kipa bado--------------------------

Hii line up inaonyesha jinsi gape la usajili lilivyo kubwa

Winger wa kulia Madueke anaweza kupunguza uhitaji

LB sikumuweka Chilwell kwa sababu anajivuta sana kurudi kwenye form akitoka majeruhi tofauti na James Jembe

So wacheza class tuitawahitaji

Kipa yule wa Brentford ni mzuri sana, kwenye saves tu msimu huu ndie anaongoza
Labd akwenye LB Hall akilifanyia kazi eneo la maamuzi ya haraka sehemu zilziobaki ana composure nzuri
Kwenye Striker labda Fofana anaweza kutupunguzia mzigo wa kwenda sokoni hapo
Ziyech vip
 
Hapana, anajaribu kuonesha Silva age yake na msim uliopita kacheza game nyingi tu katika kiwango kile kile. Na msimu huu yuko vile vile tena ndio anazidi kuperform.

Njok sasa kwa mount kusema kigezo sijui kacheza game nyingi msimu uliopita ndio kifanye ashuke performanc yake hapana
Kwa sasa bado yuko very intelligent na sharp kama Mudryk, akifeli atapewa replacement
 
Performance ya Jorginho leo vs Liverpool
  1. Touches - 79
  2. Passes - 56
  3. Key Passes - 1
  4. Interceptions - 4
  5. Ground Duels Won - 8/10
  6. Tackles - 5
  7. Ball Recoveries - 9
  8. Blocks - 1
  9. Fouls Won - 2
Kiujumla leo kacheza vizuri ila isitudanganye, huyu auzwe tu kwa sababu hii ya leo ni danganya toto, mechi inayofuata back to deffault

licensed-image
Hivi mnasemaje kacheza vizur, wakat alikua anapokea mipira kutoka backline yupo mwenyewe then anairudisha pasi kama ilivyo ilipotoka. Ni mchezaji wa hovyo sana. cjajua kw nini kova hajaanza leo?
 
Mudryk kw dk. chache alizocheza ni mchezaji mzuri sana anatoa pass kw haraka na za uhakika. Mchezaji tumepata. Ila namuonea huruma bora angeenda zake Arse88 mana atakuja kuonekana mchezaji wa hovyo sababu anacheza na matakataka.
Kocha pia nahis ana uwezo mdogo, ndio nn kutuwekea chekwiemeka wakat kuna Datro.
 
Mudryk kw dk. chache alizocheza ni mchezaji mzuri sana anatoa pass kw haraka na za uhakika. Mchezaji tumepata. Ila namuonea huruma bora angeenda zake Arse88 mana atakuja kuonekana mchezaji wa hovyo sababu anacheza na matakataka.
Kocha pia nahis ana uwezo mdogo, ndio nn kutuwekea chekwiemeka wakat kuna Datro.
Wewe nenda Arse88 sisi tuachie Mudryk tutajenga naye timu hadi iwe na makali
 
Chunkwuemeka na wachezaji wanaofanana naye hawawezi kabisa kucheza na Mudryk, leo kipima joto tuliona. Chunkwuemeka kidogo atapike nyongo

Ebu tuone Felix akirudi na Madueke akianza

Kijana yuko sharp 10X hao waliocheza leo

Ghalagher anyejifanya kurukaruka hadi ananyang'wa mpira

He will be a real threat to all epl teams

Yaani hata asipofunga atafungua milango, madirisha na mageti yaliyofungwa

Natamani sana nione combination yake na hwa inakubali na kuleta magoli ya kutosha
  1. Madueke
  2. Datro Fofana
  3. Havertz
  4. Felix
  5. Nkunku
 
Kante akirudi tutacheza hivi 4-1-4-1


-----------------Datro Fofana-------------

Mudryk ----- Felix ----- Madueke ----- Ziyech

--------------------Kante-----------------

Chilwell ----Badiashile -----Silva----- James

--------------------Kepa-----------------


Kwenye hiyo formation hawa watasota sana benchi labda kutokee majeruhi
  1. Sterling
  2. Mount
  3. Havertz
  4. Kova
  5. nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom