King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,332
- 6,039
Huu msimu nyie na liver mmekua wa vituko sana.
Huwa nasema tuna quantity kuliko quality.Sasa nimeamini Chelsea tuna average player wengi sana.. top quality player ni wachache sana.
Na hii ndo inafanya wachezaji walosajiliwa January waonekane wazuri sana (badiashille, mudryk, J.Felix), hao class yao ndo imeonyesha tuna watu wa aina gani kwenye kikosi chetu cha sasa..
Ni kweli inabidi dirisha kubwa waondoke wengi sana..
Yaani weka hawaHuwa nasema tuna quantity kuliko quality.
Wachezaj wachache sana ndio wanaquality na ndio wanaoperform game nyingi ni game chache sana ndio unakuta hawajacheza vizuri.
Ukiangalia felix alivyocheza dhid ya fulham,Badiashile hizi game mbili alizocheza(palace&liverpool), mudryk dakika alizocheza leo unaona kabisa qualitu waliyonayo na ambayo tumekuwa tukiikosa.
Rebuilding ilikuwa inahitajika,
Hizi game mbili zilizopita atleast improvement inaonekana sasa
Au huyu mount itakuwa uchovu / fatigue inamzingua ..misimu miwili iliyopita alicheza game nyingi non stop...cha ajabu cjui potter haoni akae benchi kwanzaMount hafai hata kuanza kwa sasa,
Badiashile yulo calm hana papara utasema yupo mda mrefu
Naimani sana kwa sasa tunahitaj kiungo, Endapo tukapat hata mid 1 january hii,Yaani weka hawa
Sioni wachezaji wenye quality zaidi yya hao watatu kwa wale wa zamani
- Silva
- Kante
- James
Na kipimo ni ujio wa Badiashile na Mudryk
Waliosajiliwa kiangazi
January signings
- Sterling - Avarage- kashachuja
- Cucurella - hatumii akili
- Koulibally - mfumo umemkataa
- Wesley Fofana - Hajapata muda wa kucheza
- Chunkwuemeka - mzito wa kuamua
- Aubameyang - yuko yuko tu
- G Slonina - Hajapewa nafasi
- Denis Zakaria - Just Avarage - japo anaonyesha akizoea ana composure nzuri na mpira kuliko viungo tulio nao
So to say, line up yetu ya first 11 ni
- Mudryk - very supperb - pace 100%, akili 100%, speed 100%, ball controll 100%, passing 100%
- Badiashile - Supperb
- Datro Fofana - bado hajapata muda wa kutosha kuonyesha uwezo wake
- Madueke - Bado hajacheza
- Santos - Bado
- Joao Felix - Supperb
---------------- Striker bado--------------------------
Mudryk ----------------- Felix------------------- Bado
------------- Bado --------------- Kante ------------
Bado ----------- Badiashile -------- Silva --------- James
---------------- Striker bado--------------------------
Hii line up inaonyesha jinsi gape la usajili lilivyo kubwa
Winger wa kulia Madueke anaweza kupunguza uhitaji
LB sikumuweka Chilwell kwa sababu anajivuta sana kurudi kwenye form akitoka majeruhi tofauti na James Jembe
So wacheza class tuitawahitaji
Kipa yule wa Brentford ni mzuri sana, kwenye saves tu msimu huu ndie anaongoza
Labd akwenye LB Hall akilifanyia kazi eneo la maamuzi ya haraka sehemu zilziobaki ana composure nzuri
Kwenye Striker labda Fofana anaweza kutupunguzia mzigo wa kwenda sokoni hapo
Mbona Silva yuko vizuri na msim uliopota alicheza game nyingi tuAu huyu mount itakuwa uchovu / fatigue inamzingua ..misimu miwili iliyopita alicheza game nyingi non stop...cha ajabu cjui potter haoni akae benchi kwanza
Mount hatufai afu anataka mshahara mkubwa mara wanataka awe captainMbona Silva yuko vizuri na msim uliopota alicheza game nyingi tu
Ivi Jao Felix amekuja kwa mkopo? Ni mukopo wa muda gani?Msimu ujao anaongezeka Nkunku
Mnasemaje wasodoaji wetu wapendwa
![]()
Wewe jamaa ulipotelea wapiYani tulisajili machezaji matakataka kinoma , Sterling, Cucurella(huyu ndio hata ajui anafanyaga nini uwanjani), koulibaly na takataka zingine kadhaa.
Tunajenga timu mpya
Ulimaanisha Mount Au!Mbona Silva yuko vizuri na msim uliopota alicheza game nyingi tu
Ivi Jao Felix amekuja kwa mkopo? Ni mukopo wa muda gani?
With exception ya yeye huyo n class nyingine mithiri ya mvinyo uliokaa muda mrefu[emoji28]Mbona Silva yuko vizuri na msim uliopota alicheza game nyingi tu
Sasa kama bado mdogo amechoka mapema je akifika miaka 28-30 sindio tutamsahauWith exception ya yeye huyo n class nyingine mithiri ya mvinyo uliokaa muda mrefu[emoji28]