Our XI vs Fulham
Kepa
Chalobah Silva Koulibaly
Azp Zakaria Kova Hall
Felix Mount
Havertz
Tushinde kwanza, tupate kujiaminiIli Chelsea aweze kumpiku Fulam anatakiwa afunge 3-0 au kwa tofauti ya goli 3
GP is very sturbon
Kwa nini amng'ang'anie Chalobah badala ya kumjaribu Badiashile?
Mnasajili kila siku na mnagongwa kila siku[emoji1787]hiyo Timu au kinyesiYaani Willian anatufunga
Badiashile ni LCB,GP is very sturbon
Kwa nini amng'ang'anie Chalobah badala ya kumjaribu Badiashile?
Hili jina la Cheltako hivi chanzo si Ivanovic?Cheltako wanasajili nyingi kuliko mechi walizoshinda msimu huu waja laana hawa kazi kufuga matako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]