juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tuchel hakuwa namaono sawa na boehly-clearlake consortium.Hivi TT alikuwa na shida gani au huyu boss miluzi anataka tukose hata champions league?
Tuchel hakuwa namaono sawa na boehly-clearlake consortium.Hivi TT alikuwa na shida gani au huyu boss miluzi anataka tukose hata champions league?
Ndo nachojaribu kukuonyesha kuwa Roman aliweka kina marina ambao Kwa kiasi kikubwa walitufelisha kwenye baadhi ya sajili...usajili WA maana tuliofanya nafikiri ule msimu tunamleta fabregas, Costa, Felipe luiz..n.k. Ila baada ya hapo sajili nyingi naona hazikutick as if tulikuwa hatufanyi analysis ya kutosha kabla ya kusajili na kuishia kununua hyped expensive players ....plus average players tunaohangaika nao sahv..hao jamaa unahitaji wakuonyeshe kipi zaidi wakati walipotoka wamedhihirisha kazi zao.With due respect nimemzungumzia Boehly kabla ya hao uliowataja. Maoni yako kwa kweli yatakuwa na nyama njema hao wakianza kazi na wasipoingiliwa.
Kwa sababu kuna vitu viwili tofauti kabisa hapo
Hofu yangu kilichomfukuza TT isije ikawaondoa na hao mabwana uliowataja because of the kimbelembele cha Boehly. God forbid hicho kisitokee.
- Kuna kuwasajili hao jamaa wazuri kabisa NA
- Kuwapa uhuru wa kufanya kazi bila kuingiliwa
THE BLUES DAIMAChelsea hakuna Timu pale,ni kikundi cha wahuni tu ndio maana inagongwa kila siku
Hapo sioni usajili mbovu labda Auba ndie haeleweki, Hao wengine maji ya bahari yakitulia mtawapenda burePamoja na mkeka huu wote bado tunakalishwa chini kama watoto ... inauma saana.
![]()
jamaa anaujua au anakuja kuongeza numberTuliwambia kwa JF mmepigwa parefu. Na siri sasa ambayo hamkuambiwa kabla hajaondoka anakula mkataba mpya mpaka 2027[emoji23]View attachment 2476350
Kwa nini unasema hivyo? kwa sababu ya mshahara au kuongeza mkaatab na ADM au kwa sababu hakuna buy clause. Mpira sio kucheza tu, Football is business. Kama tunavyofanya sisi na timu zingine zina haki hiyo hiyo ya kufanya biashara. ADM wamefanya hivyo kulinda maslahi yao kwa huyo mchezaji. Walivunjua benki kumnunua huyo mchezaji kutoka Benefica 3 years ago. So waache wafanye hivyo. Mkataba wetu wa kumchukua ni kuziba pengo linaloweza kuachwa na hao walioingia kwenye majeruhi. Sterling na Pulisic. Tunamhitaji tu hadi June 30, baada ya hapo anarudi kwao, kama tumempenda tunaweza fanya biashara na ADMTuliwambia kwa JF mmepigwa parefu. Na siri sasa ambayo hamkuambiwa kabla hajaondoka anakula mkataba mpya mpaka 2027[emoji23]View attachment 2476350
Chelshit lila aliyepo anaujuwa. Umemsahau Timo wenner, Ziyech akifikaga hapo dalajani anakuwa kichuya mlefujamaa anaujua au anakuja kuongeza number
Ukicheki video yake youtube huyu atakuja kuwa Fabregas juniour. Akipata mpira yeye anawaza tu kuassist na anajua kutoa passi za hatari iwe ndefu au fupi. side passes na back passes kama za akina Jorginho hana kijana. Naomba Chelsea wafanikishe hilo dealUkifatilia interview za Arsen Zakharyan jinsi alivyonashauku na kujiunga na sisi, changamoto iliyopo tu ni jinsi malipo yatakavyo fanyika.
Sasa uwaze hapa Potter Pale Bolingoli 😂😂😂😂Romelu Lukaku is facing an extremely uncertain future amid claims his performances are ‘throwing’ Inter Milan into ‘despair’, with the striker also suffering injury woes.
Kuna kila dalili kuwa Inter hawatakubali parmanent deal la Lukaku Bolingoli kwa sababu performance yake imeshuka mno. Amekuwa ni mtu wa maneno mengi bila performance.
Sasa huyu kiangazi kijacho tunaye hapa darajani, mzigo huo utatua tena na huku akitangaza waziwazi anaipenda Inter tu
Tangu arudi inter pamoja na majeruhi kafanikiwa kufunga goli moja tu na assist moja katika mechi 6
![]()
Kwanini unasema hivyo?Hili dili la Felix ni upuuzi sana
Labda ndio Potter anawafundisha utajuaje ?Huyo dogo aliacha kumpasia Fofana akiwa kwenye golden position pamoja na kumnyooshea mikono mara nyingi ila hakumuona badala yake akaenda na huo mpira kule pembeni hadi city wakafunga mianya na kijana akabaki kubutua
View attachment 2476548