Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dream Team imekuwa kama ngonjera

Barca walimng'ang'ania Raphina wakajipiga kweli kweli sasa wanajuta kwa kufuata kwamba Raphina aliipenda Barca aliifuatilia tangu utototni na kwamba Barca ni dream, team yake.

Raphina kwenye mechi 21 aliazocheza tangu ahamie Barca miezi sita iliyopita kafunga goli 3 tu na assists 5. Sasa Barca wanamtembeza sokoni anunuliwe. Amlete Chelsea tumpe Mil 10 ndio size yake.

According to Jose Alvarez (via Managing Barca), Barcelona have decided they are open to offers for Raphinha as well as Ferran Torres and Ansu Fati. The news may not come as a surprise for many due to Barca's horrific financial situation.

Hazard naye Draem team yake ilikuwa Madrid, kawa flop wa karne. Sasa Arsenal wanaendelea na mazungumzo ili kumsajili Hazard kutoma Real Madrid.

Hawa wachezaji wa dream team ni wa kuwaogopa sana, mimi ningekuwa kocha ningewakwepa hawa watotot wasio na akili kabisa. Wananunuliwa kwa mahela mengi halafu wanakuja kuwa flops

Arsenal wawe macho na huyo Makhailo

Mykhailo naye dream team yake Arsenal, Chelsea tumetoa ofa ameikataa.

Ataenda kuwa flop wa karne
According to Mat Law moja kati ya reliable kweny habar za team yetu
Screenshot_20230110-223017_Twitter.jpg
 
According to Mat Law moja kati ya reliable kweny habar za team yetu View attachment 2476881
Nia ilikuwepo na ndio maana ya exploratory
Walitaka kujua kama Mykhailo angekuwa tayari kuja darajani
Pia walitaka kujua how serious Shkhtar walikuwa kwenye ada yao ya Paundi 88m

Kwa mchezaji anayetoka ligi ndogo ya Ukraine Chelsea isingeweza kulipa hata hii ada Arsenal wanalipa
Sana sana kama mchezaji alikuwa anakubali kuja darajani asingepewa zaidi ya paundi mil 60
 
Karibu nyumbani Joao Felix
Joao Felix has flown to London for his Chelsea medical ahead of a loan move from Atletico Madrid until the end of the season.

The Blues, who are set to beat Premier League rivals Manchester United and Arsenal to the signing of the Portugal forward, will pay an €11m (£9.69m) loan fee plus his wages.
 
New Incoming
  1. Wesley Fofana
  2. Marc Cucurella
  3. Rahim Sterling
  4. Kalidou Koulibaly
  5. Emerick Aubameyang
  6. Danis Zakaria
  7. Gabriel Slonina
  8. Carney Chukwuemeka
  9. Omari Elijah Hutchinson
  10. Cesare Casadei
  11. Benoit Badiashile
  12. Andrey Santos
  13. David Datro Fofana
  14. Joao Felix
  15. Christopher Nkunku - coming in July 2023
  16. Raphael Leao - coming soon
  17. Gvardiol- coming soon
  18. Marcus Thuram- coming soon
  19. Moises- coming soon
  20. Declan Rice- coming soon
  21. Matty Cash au Pedro Porroau Josip Juranovic.- coming soon
  22. Still loading... for creative RB, midfielder and defensive midfielder
Outgoing ...?

Mbona kama tunasajili timu nzima ya wachezaji 20+
 
New Incoming
  1. Wesley Fofana
  2. Cucurella
  3. Sterling
  4. Koulibaly
  5. Aubameyang
  6. Zakaria
  7. Slonina
  8. Chukwuemeka
  9. Badiashile
  10. Santos
  11. David Fofana
  12. Nkunku
  13. Felix
  14. Still loading... for creative RB, midfilder and defensive midfilder
Outgoing ...?
no 1 na 11 ni ndugu ?
 
New Incoming
  1. Wesley Fofana
  2. Cucurella
  3. Sterling
  4. Koulibaly
  5. Aubameyang
  6. Zakaria
  7. Slonina
  8. Chukwuemeka
  9. Badiashile
  10. Santos
  11. David Fofana
  12. Felix
  13. Nkunku - coming in July 2023
  14. Raphael Leao - comming soon
  15. Gvardiol- comming soon
  16. Murcu Thuram- comming soon
  17. Moises- comming soon
  18. Declan Rice- comming soon
  19. Mat Cash au Pedro Porroau Josip Juranovic.- comming soon
  20. Still loading... for creative RB, midfilder and defensive midfilder
Outgoing ...?

Mbona kama tunasajili timu nzima ya wachezaji 20+
Koulibaly,Auba hawa wote hawana future,

Changamoto ya RB ni kumpata mtu aliyetayar anajua kabisa anaenda kuwa back up wa james hapo ndio kasheshe
 
Nia ilikuwepo na ndio maana ya exploratory
Walitaka kujua kama Mykhailo angekuwa tayari kuja darajani
Pia walitaka kujua how serious Shkhtar walikuwa kwenye ada yao ya Paundi 88m

Kwa mchezaji anayetoka ligi ndogo ya Ukraine Chelsea isingeweza kulipa hata hii ada Arsenal wanalipa
Sana sana kama mchezaji alikuwa anakubali kuja darajani asingepewa zaidi ya paundi mil 60
Mudryk amewakataa Chelsea. Angekubali mngelipa hata €100m+.

Arsenal na Man Utd wamegoma kutoa €11m kwa Felix, ila wadau mlivyofika tuuu, mkalipa hapo hapo!!!
 
Mauricio Pochettino willing to become new Chelsea boss if Graham Potter is sacked​

Koulibaly,Auba hawa wote hawana future,

Changamoto ya RB ni kumpata mtu aliyetayar anajua kabisa anaenda kuwa back up wa james hapo ndio kasheshe
Kwa hali ilivyo na kwa football ya sasa huyo RB hana cha kuogopa kwa sababu siku hizi ni rotation sio backup labda kama awe na kiwango cha chini
 
Tunataka kupigwa tena
  1. Lukaku mil 100 tukamrudisha Inter belo 10M
  2. Werner tulimchukua RB Leipzig mil 50 wakamnunua tena kwa mil 30
  3. Aub a tumemnunua Barca kwa mil 12 sasa Barca wako tayari kumchukua bure kabisa

1673500468442.png
 
Kinachonichosha ni kuwa tunashindwa sajil wachezaj wa maana katika hiyo nafasi kwa sabab eti tuna mount.

Huyu dogo tunamtreat utasema ndio ingine ya team kumbe sio.
Mount ni mzuri pamoja na ups and downs zake, as age goes by atakuwa stable kwenye hiyo nafasi ya wide winger au CAM. Tunaweza kwenda sokoni tukamnunua mchezaji wa kiwango cha chini tukapigwa Mil. 100+
Mfano Enzo utakuja kuta hana tofauti kubwa na Mount, jina lake limepaa tu kwa sababu Argentina ilibeba kombe la WC. Mchezaji anayeweza kukupa double digits kwenye magoli na assists sio wa kumbeza hata kidogo
 
Fulham tunajambo letu leo usiku na hizi MburuKenge za darajani.
Aleksandar Mitrovic leo anapiga hatrick halafu bado kina Joao Palhinha, Willian, Andreas Pereira, Carlos Vinicius, Tim Ream na Bobby De Cordova Reid wana magoli yao.

Msimu huu huyo Pota wenu asipowashusha daraja nimekaa paleeee.
 
Enzo na Mount ni 2 different player mkuu

Kiuchezaj mpk kwenye nafas wanazocheza ni wachezaj wawili tofauti.

Mount huwez sema unaunda team kumzunguka yeye hapana,

Ukitaka kuona angalia influence anayokuwa nay James katika games akiwepo na asipokuwepo halaf njo kwa mount influence yake akiwepo na asipokuewepo.
 
Fulham tunajambo letu leo usiku na hizi MburuKenge za darajani.
Aleksandar Mitrovic leo anapiga hatrick halafu bado kina Joao Palhinha, Willian, Andreas Pereira, Carlos Vinicius, Tim Ream na Bobby De Cordova Reid wana magoli yao.

Msimu huu huyo Pota wenu asipowashusha daraja nimekaa paleeee.
Hii game ngumu leo halaf tuko pale Craven Cottage, ukiangalia Fulham wanavyocheza unaona kabisa wanao uwezo wa kutusimamisha
 
Hii game ngumu leo halaf tuko pale Craven Cottage, ukiangalia Fulham wanavyocheza unaona kabisa wanao uwezo wa kutusimamisha
Huyo MItrovic kwa mabeki kama akina Chalobah, Only God knows
Mechi 15 goli 11 na assist 1

Tukicheza kama tulivyocheza na city, lege lege, kukaba kwa macho, kupress kwa imani tutaadhiriwa sana na pia nahisi ndio mwisho wa Potter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom