Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nakuhakikishia hawatufungi hawa mambwiga,
Nimetundika daluga, miaka mi5 iliyopita, nikitafuta wale mafundi wenzangu, tukapiga jalamba la nguvu, wiki 3 tu zinatosha, ya 4 tunaanza kuwasikiliza wao, hata wakituamsha ssaa 8 usiku kwa kutushitukiza hawatufungi ng'oo

Yaani mie nikasirike nile winga ya kushoto ndio babu masulupwete anizuie, niamue kucheza 8/10 pale kati natamba mimi tu, napiga pasi makkah huku naangalia madina.. Napiga pasi mtwara macho yanatizama kigoma mwisho wa reli. [emoji23] [emoji23]
[emoji23]
 
Game zetu 4 zijazo
Fulham (A)
Crystal Palace (H)
Liverpool (A)
West Ham (A)
 
Nikikumbuka kuna raia hapa walikuwa wanamtetea pota kuwa ni kocha mzuri aisee nachoka
 
OllaChuga Oc kazi munayoiweza Chelsick musimu huu ni kutingisha wowowo tu kenge nyie.
Screenshot_20230108_212747.jpg
 
Hivi wachezaji wa Chelsea ni wabaya kiasi cha kocha kushindwa kuwainua viwango vyao hata kidogo?
PEP alipokuwa na magarasha pale city mwaka wake wa kwanza tu alishika namba 3
Nyumba inayojengwa na mhandisi mbovu hata ikipewa muda haitakuwa nyumba bora
Hivi haya yana andikwa na Lembu au mtu mgine, mtu alie kua an mtetea potter kwamba ana project ya miaka 5 eti sisi ni plastic fans. Nili wambia tutanena lugha moja. Potter ni mzuri ila hawezi Chelsea ni timu kubwa kwake, huo ndo ulikua msimamo tangu awali. Jama hana uwezo wakusoma mchezo haraka na kuditect threat iko wapi na kuifanyia marekebisho haraka kama top coaches
 
Hivi haya yana andikwa na Lembu au mtu mgine, mtu alie kua an mtetea potter kwamba ana project ya miaka 5 eti sisi ni plastic fans. Nili wambia tutanena lugha moja. Potter ni mzuri ila hawezi Chelsea ni timu kubwa kwake, huo ndo ulikua msimamo tangu awali. Jama hana uwezo wakusoma mchezo haraka na kuditect threat iko wapi na kuifanyia marekebisho haraka kama top coaches
Maoni yanaenda yakibadilika, hata hivyo bado hujawa mshindi kwa sababu waajiri bado wana imani na Potter. Akitimuliwa ndipoo tutakupa kikombe cha ushindi
 
PEP adai GP anstahili apewe muda aijenge timu
Akaingiza utani kuwa pale Barca haikumchukua misimu miwili kwa sababu alikuwepo Messi
Pale city pia hakuchukua misimu miwili alikuwepo nani?--Aguerro?? kidding

Makocha saa nyingine wanapigana vijembe kwenye vyombo vya habari
 
TT mechi zake 3 za kwanza kukutana na City alimponda 1-0 FA semi final on April 21 na Kumfunga 2-1 mechi ya ligi may 21 na kumfunga 1-0 final ya UEFA may 21

GP mechi zake 3 za kukutana na city kafunga 2-0 kwenye carabao cup, 1-0 kwenye mechi ya ligi na 4-0 kwenye FA cup
 
Wanataka wamtoe Fofana mkopo ili wamsajili striker kwa wakati Fofana ni mzuri
 
#Chelsea have offered to sign Joao Felix on loan from Atletico Madrid. They are prepared to pay around €11M for Felix and cover his salary until the end of the season. Chelsea are also working to include an option to buy. Felix is keen on a move.

[via @DuncanCastles]
 
[emoji599] Exclusive: Todd Boehly stands down as Chelsea's interim sporting director. The bulk of Chelsea's transfer business will now be handled by recent appointments Christopher Vivell and Paul Winstanley
 
Todd Boehly has stood down as interim Sporting Director and has handed the bulk of the transfer responsibility to new recruits Christopher Vivell and Paul Winstanley. (@Matt_Law_DT)

Chelsea have the tough task to face of trying to convince the players of the required quality to come in and fill for Reece James. (@Matt_Law_DT)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom