Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Chumaaaa hizi yatima leo zitabanduliwa zipate mapacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kamtu kumbe ni kanafki sana nshakujuaChumaaaa hizi yatima leo zitabanduliwa zipate mapacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungekua mancity ningekupaLinks ya ball wahuni
Hii futemax inazingua kimtindo
Kumbavu weweUkiliona shabiki la Cheltako Banda umiza,barabarani lipige kofi usoni tu waja laana hao
Hata Kova hakuna kitu, Beki ni Silva alikuwa anatubebaPooor pooor pooor.
Jorginho,Havertz,Mount,Galagher yani kama ni kuondoka hawa waanze kuondoka. Pooor