Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

gemu ya kwanza tulikuwa na ulazima wa kucheza defensive ili kupima upepo; lakini sasa tumeimarika sana kuliko ilivyokuwa mwezi wa 8. Pale mbele Willian-Oscar-Hazard-torres. mtaumia sana siku hiyo.
Ukitaja mwaka 1999 nakumbuka treble (UEFA Champions League +English Premier League +FA Cup).Mourinho ni too defensive sio rahisi kumfunga Man United goli tano,nafikiri unakumbuka game ya kwanza.
 
"I want to thank everyone at the club and all the fans. Benfica will forever be in my heart.

"I played here for two-and-a-half years, gave my best at every training session, and now it is the right moment to leave.

"I want to improve, I want to play in a better league and I want to go to Chelsea, a club I also love.

"I would also like to thank Benfica's president, he did everything he could to keep me, but I wanted to leave.

"I insisted on leaving because I think this is the right moment." - Nemanja Matic,
 
'Nemanja Matic is due to undergo a medical on Tuesday ahead of completing a return to Chelsea.


The midfielder was valued at less than £5 million when he left Stamford Bridge as part of the deal that took David Luiz to Chelsea from Benfica.

Just three years later, Chelsea are poised to re-sign Matic for around £22  million and, barring any hitches, he could replace Luiz in the team to face Manchester United on Sunday" - source The Telegraph
 
"We have a huge spirit in the squad and quality players who can win games. To come back from 3-1 down against Napoli, to beat Barcelona who are the best team in the world and then to win against Bayern Munich in their own stadium is very special." -Frank Lampard baada ya fainali ya Munich, 2012.
 
Uwe na adabu hata kama hatujuani. Umri wangu wa ushabiki unatosha kuwa na rekodi za kutosha:Nimekuwa mshabiki wa Chelsea tangu wakati wa Glenn Hoddle; kama wewe ni shabiki wa la liga kwa nini uumize kichwa kwenye thread yetu?Inaonekana unatushabikia: Itajulikana tu twendelee na safari.
nimefikisha ujumbe tu,u can fool some pple some time but not ..........
 
Tumekutana JF, ukishindwa kuamini post zangu nenda kwenye thread inayokuhusu; usijaribu kuleta arguments ambazo hazina msingi wowote hapa; leave us alone: Yes, We are The Champions!
nimefikisha ujumbe tu,u can fool some pple some time but not ..........
 
Kwa mashabiki wenzangu wa Chelsea; Nemanja Matic kutoka Benfica amesajiliwa jana. Ikumbukwe huju kijana alikuwa Chelsea mwaka 2009, hatimaye akauzwa Januari 2011; Lakini sasa amesajiliwa tena arudi nyumbani kwake Chelsea FC. Nemanja Matic atavaa jezi # 21 aliyokuwa anavaa Salmon Kalou. Nemanja Matic ni kiungo anayetumia vizuri mguu wa kushoto, atasaidia sana kwenye jukumu ambalo Frank Lampard, John Obi Mikel, na Ramires huwa wanacheza.
 
Nimekugongea like kwenye comment yake lakini usimlaumu kwa kuwa "shabiki maandazi" hili ni jukwaa lake; akafanyie wapi ushabiki maandazi? Kama ataweka comment kama hiyo kwenye Man Utd thread kweli atakuwa shabiki maandazi, lakini kwa sababu hii ni thread "yake" ni vizuri kumkosoa kwa heshima kidogo au vipi mkuu wangu Belo, JF Great thinkers.
Punguza ushabiki maandazi kama hujui ni bora kukaa kimya.Morinyo ameshafungwa na Ferguson
 
J2 ndo inakaribia Mourinho atakapozidi kuonesha ufundi wake na ubora wake!
 
Kaka umepotea sana, duuh karibu "tupange" mikakati ya ushindi wa jumapili hapa hapa jukwaani.


Mwanangu nipo mambo tu yanazidi wakati mwingine! Lin hua napita na kusoma hoja zenu!

Najua sasaivi joto la game ya j2 linazidi kupanda kwa haters lkn Chelsea imezidi kuimarika sn sasaivi kuliko ligi ilipoanza!

Tujikumbushe mechi ya Chelsea na Liverpool. Yani siku hiyo Man Utd atapigiwa mpira Zaidi ya huo!

Tumebakiza kazi moja tu ni kushinda kila game!
 
Kwa upande Wa kikosi atakachopanga Jose haina shida apange chochote ingawa kumeanza kua na uelewano Wa karibu sn na kufahamiana kwa ukaribu sn kwa kikosi hichi ambacho amekua anakipanga Mara kwa Mara na kukifanyia mabadiliko kidogo!

Walinzi Wa penbeni aanze Colly na Azz kwasababu Ivanovic bado hajawa fiti!

Beki za Kati Terry na Cahill waanze alafu Luiz akae Sub kabisa siku hiyo tusije tukaumiza Beki Wa kati siku hiyo ikawa shida!

Then viungo Wa Kati Obi na Ramirez na Lampard ndio waanze.

Then Willian na Hazard na Eto'o wanapaswa kuanza.

Kipa ni Cech.

Sub:
Essien, Oscar, Luiz, Torres, Schuller, Betrada, Mata na Kipa mmoja.

Akipanga hivi Jose lazima Man Utd apigwe!
 
Safi sana; ila kwenye gemu kama hiyo Oscar #11 lazima aanze.
Kwa upande Wa kikosi atakachopanga Jose haina shida apange chochote ingawa kumeanza kua na uelewano Wa karibu sn na kufahamiana kwa ukaribu sn kwa kikosi hichi ambacho amekua anakipanga Mara kwa Mara na kukifanyia mabadiliko kidogo!

Walinzi Wa penbeni aanze Colly na Azz kwasababu Ivanovic bado hajawa fiti!

Beki za Kati Terry na Cahill waanze alafu Luiz akae Sub kabisa siku hiyo tusije tukaumiza Beki Wa kati siku hiyo ikawa shida!

Then viungo Wa Kati Obi na Ramirez na Lampard ndio waanze.

Then Willian na Hazard na Eto'o wanapaswa kuanza.

Kipa ni Cech.

Sub:
Essien, Oscar, Luiz, Torres, Schuller, Betrada, Mata na Kipa mmoja.

Akipanga hivi Jose lazima Man Utd apigwe!
 
Tumekutana JF, ukishindwa kuamini post zangu nenda kwenye thread inayokuhusu; usijaribu kuleta arguments ambazo hazina msingi wowote hapa; leave us alone: Yes, We are The Champions!
Chelsea ni kama jogoo la shamba,haliwezi kuwika canet de mar,linyola,arenys de mar,la pobla de segur,terrassa,sabadell wala samasotro.
 
Safi sana; ila kwenye gemu kama hiyo Oscar #11 lazima aanze.


Mkuu sikatai lkn kwa nionavyo Mimi Lampard na Oscar wacheze dakika 45 kwa 45 kwasababu kila mmoja anaumuhimu wake!

Kwa mfano Km Lampard, ni muhamasishaji sn na anatoa pass za ndefu na fupi kwa uhakika na anakaba sn na anajaribu pia kufunga! Kuwepo kwake uwanjani kutafanya yeye na Ramirez kumsaidia Eto'o na kulishambulia lango la Man Utd kwa Kasi sn na kulipa misukosuko mingi na kurudi kukaba na kumsaidia Obi kuifanya ngome ya Terry kua ngumu sn!

Na Km unavyojua Willian na Hazard walivyo na Kasi ya ajabu! Ukimuweka na Eto'o basi Man Utd lazima wafundishwe mpira!

Oscar kwenye kukaba au kurudi nyuma ktkt ya eneo Lao ni mzembe kidogo anachoka mapema! Yani hiyo kz watakua wanapokezana Ramirez na Lampard! Yani akipanda mbele Ramirez basi Lampard anapumzika Kati, kwa hiyo ndio hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom