Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaaani washabiki wa man utd watameza sana panadol siku hiyo...hahaaaaa

Namuonea huruma sn David Moyes. Amekua na wakati mgumu sn pale Man Utd! Yani sijui kuna shida gani Kati yake na wachezaji? Au sijui uwezo wake ni Mdogo? Lkn Alex bado yupo ktk kamati ya ufundi! Au wachezaji wamepoteza morali?
 
Sio kwa mara ya kwanza.....teeeeh teeeh,si unajua alikuwepo pale,

Yap. Alikuwepo pale, hii ni Mara yake ya pili kuwepo Darajani!

Ila ni mchezaji Mwenye bahati kupata nafasi hiyo Mara mbili na kwa timu kubwa!
 
kwa mkopo ila tuna wamer bech wengi ambao lazima waondoke msimu ujao kama moses,oriol romelu,marin,de bruyne,essien,bemba ba, etoo,,kakuta..

Ni kweli Mkuu
Lkn Mimi nafikiri ktk Hao Marin ndio hayuko vizuri. Hao wote Jose anaweza akabaki nao na asisajiri wachezaji wengine!
 
Romeu yuko Valencia, anacheza kiungo wa kukaba; lakini tayari tumesajili "mtu mzima" Nemanja Matic na kuna fundi Obi Mikel kwa hiyo ni vigumu dogo kurudi;
Kuhusu nafasi ya Marko Marin anayecheza Sevilla CF ni vigumu pia, kwa sababu tayari yuko majeruhi amekuwa majeruhi mara kwa mara ingawa kwa kweli dogo ni fundi sana. Sasa nafasi yake Chelsea ni ndogo; kwa sababu pembeni kuna watu wengi wa maana; Willian, Schurrle, Hazard, Mata, Ramires; ushindani ni mkubwa:
Ba mchezaji mzuri, lakini Chelsea ni timu kubwa;Ba ni mchezaji mzuri kwa timu za kawaida kama Newcastle, Everton, Westham ambako atapata nafasi ya kucheza kila mechi kama anavyofanya Lukaku.
Chelsea ni timu ya Mataji; hivyo inahitaji wachezaji ambao lengo lao ni kushinda mataji si kucheza ili kujiburudisha; Hua namkumbuka sana Ballack #13, huyu bwana anapenda sana kushinda; Kwa sasa tunahitji kuendelea kuwa na Lampard na Terry hata kama watakuwa wanacheza dakika chache ili vijana wapate busara na akili za hawa mafadha..
 
Kila ninapofikiria mechi ya jumapili sioni Mwanitesa United watawezaje kushinda mechi; sijui..yaani Chelsea ya sasa ni mtoto mkali sana.:boxing:
 
Romeu yuko Valencia, anacheza kiungo wa kukaba; lakini tayari tumesajili "mtu mzima" Nemanja Matic na kuna fundi Obi Mikel kwa hiyo ni vigumu dogo kurudi;
Kuhusu nafasi ya Marko Marin anayecheza Sevilla CF ni vigumu pia, kwa sababu tayari yuko majeruhi amekuwa majeruhi mara kwa mara ingawa kwa kweli dogo ni fundi sana. Sasa nafasi yake Chelsea ni ndogo; kwa sababu pembeni kuna watu wengi wa maana; Willian, Schurrle, Hazard, Mata, Ramires; ushindani ni mkubwa:
Ba mchezaji mzuri, lakini Chelsea ni timu kubwa;Ba ni mchezaji mzuri kwa timu za kawaida kama Newcastle, Everton, Westham ambako atapata nafasi ya kucheza kila mechi kama anavyofanya Lukaku.
Chelsea ni timu ya Mataji; hivyo inahitaji wachezaji ambao lengo lao ni kushinda mataji si kucheza ili kujiburudisha; Hua namkumbuka sana Ballack #13, huyu bwana anapenda sana kushinda; Kwa sasa tunahitji kuendelea kuwa na Lampard na Terry hata kama watakuwa wanacheza dakika chache ili vijana wapate busara na akili za hawa mafadha..

Ni kweli Mwanangu Chelsea inawacheza wengi sn na wazuri na kupata nafasi ya kucheza ni lazima ujitume sn!

Umenikumbusha mwanaume Balack! Yule jamaa alikua mashine! Naikumbuka hiyo Chelsea ilikua ni balaa sn! Hasa ule mfumo aliokua anatumia sn Mou wakati huo ulikua unaifanya Chelsea kua timu moja ngumu sn kufungwa! Ile 4 4 2 ilikua noma! Kipindi hicho alikua Makelele, Essien, Lampard, na Balack. Yani hapo Kati palikua ni shughuli pevu! Alafu mbele unamkuta Drogba akisaidiwa na Kalou au F Malouda!
 
Safi sana: lakini kabla ya Kalou kuanza kupata namba mwenye hiyo namba yake alikuwa Jose Cole: Kwa hivyo Mou alikuwa anamchezesha Jose Cole kushoto nyuma kidogo ya Drogba; Chelsea walicheza sana 4-4-2 wakati wa Carlo Ancelloti mbele walikuwa wanasimama Drogba na Anelka.

Mfumo wa Mourinho 2004-2006:
‘Look, if I have a triangle in midfield – Claude Makelele behind and two others just in front – I will always have an advantage against a pure 4-4-2 where the central midfielders are side by side. That's because I will always have an extra man. It starts with Makelele, who is between the lines. If nobody comes to him he can see the whole pitch and has time. If he gets closed down it means one of the two other central midfielders is open. If they are closed down and the other team's wingers come inside to help, it means there is space now for us on the flank, either for our own wingers or for our full-backs. There is nothing a pure 4-4-2 can do to stop things'. -Maneno ya Jose Mourinho

Ni kweli Mwanangu Chelsea inawacheza wengi sn na wazuri na kupata nafasi ya kucheza ni lazima ujitume sn!

Umenikumbusha mwanaume Balack! Yule jamaa alikua mashine! Naikumbuka hiyo Chelsea ilikua ni balaa sn! Hasa ule mfumo aliokua anatumia sn Mou wakati huo ulikua unaifanya Chelsea kua timu moja ngumu sn kufungwa! Ile 4 4 2 ilikua noma! Kipindi hicho alikua Makelele, Essien, Lampard, na Balack. Yani hapo Kati palikua ni shughuli pevu! Alafu mbele unamkuta Drogba akisaidiwa na Kalou au F Malouda!
 
Sasa tuongee kitaalamu kidogo:

Ilikuwa hivi; Mabeki wa nyuma wanne: P.Ferreira, John Terry, Carvanho, Wayne Bridge/Gallas.

Kiungo mmoja mbele ya mabeki: Makelele
Viungo wawili mbele kidogo ya makelele: Essien/Tiago na Lampard.

Watu wa mbele; Robben (upande wa kushoto), Damien Duff au Joe Cole(upande wa kulia)

Mtu wa Mwisho(striker) Drogba au Gudjonsen[mbele kabisa]
Kwa hiyo kulingana na mfumo huu Chelsea ilikuwa inapata faida kuliko timu inayotumia "pure 4-4-2" kwa sababu Makelele alikuwa anabaki "free" kutazama mchezo na kupata nafasi nzuri ya kusaidia kuzuia mashambulizi kabla adui hawajafika kwa mabeki.
 
Twendelee:
Kwa sasa Mourinho anatumia mfumo ambao Di Matteo aliupenda zaidi(mfumo wake) 4-2-3-1.
Katika mechi nyingi tumecheza hiyo 4-2-3-1. Yaani Mabeki 4; Ivanovic/Cesar Azp, Cahill, Terry, Cole.
Viungo 2 wa kukaba: John Obi Mikel/Frank Lampard na Ramires/David Luiz.
Viungo 3 wa kushambulia(wote hawa ni #10 kitaalamu), Hazard, Oscar na Willian/Mata.

Mshambuliaji: Torres au Eto'o au Ba.
Lakini ikitokea tunashambuliwa sana; hao viungo 3 washambuliaji: Willian, Oscar, Hazard wanarudi nyuma kuungana na wale viungo 2 wa ukabaji. Mfumo unabadilika kutoka 4-2-3-1 na kuwa 4-5-1(Senegal, kombe la Dunia mwaka 2002)
 
Safi sana: lakini kabla ya Kalou kuanza kupata namba mwenye hiyo namba yake alikuwa Jose Cole: Kwa hivyo Mou alikuwa anamchezesha Jose Cole kushoto nyuma kidogo ya Drogba; Chelsea walicheza sana 4-4-2 wakati wa Carlo Ancelloti mbele walikuwa wanasimama Drogba na Anelka.

Huu mfumo Mkuu ulionekana kubamba sn wakati huo!
 
Twendelee:
Kwa sasa Mourinho anatumia mfumo ambao Di Matteo aliupenda zaidi(mfumo wake) 4-2-3-1.
Katika mechi nyingi tumecheza hiyo 4-2-3-1. Yaani Mabeki 4; Ivanovic/Cesar Azp, Cahill, Terry, Cole.
Viungo 2 wa kukaba: John Obi Mikel/Frank Lampard na Ramires/David Luiz.
Viungo 3 wa kushambulia(wote hawa ni #10 kitaalamu), Hazard, Oscar na Willian/Mata.

Mshambuliaji: Torres au Eto'o au Ba.
Lakini ikitokea tunashambuliwa sana; hao viungo 3 washambuliaji: Willian, Oscar, Hazard wanarudi nyuma kuungana na wale viungo 2 wa ukabaji. Mfumo unabadilika kutoka 4-2-3-1 na kuwa 4-5-1(Senegal, kombe la Dunia mwaka 2002)

Huu mfumo kwa sasa umewafanya Chelsea kua na Beki ngumu sn na kuweza kupunguza kabisa idadi ya magoli kufungwa. Lkn unaitaji viungo imra sn tena wasiochoka kwa ajili ya kukaba na kushambulia!

Kwa mfano wakipanda kwenda kushambulia wakiwa wanasaidiwa Na Beki za pembeni wanakua Beki za pembeni 2 viungo Wa Kati 3 winga za pembeni 2 ambao kwa wakati huo Km Beki Wa pembeni kapanda lazima winga aingie ndani kuungana na striker 1. Kwahiyo hapo kwenye kushambulia wanakua 8. Na kuacha Beki mbili tu za Kati zikwa maeneo ya katikati ya uwanja na Kipa akiwa mbele kabisa ya goli kuwahi mipira mirefu itakayo wazidi mabeki.

Na wote Hao Beki za pembeni na na viungo Wa Kati na winga za pembeni lazima warudi wote kukaba! Na kuungana na Beki mbili za Kati Kwahiyo nyuma utakua na watu 9 ktk ukabaji! Na kumuacha striker peke Yake aikwa Kati. Yani wachezaji kila wakati wameja kila Mahali. Golini kwa adui na Golini kukaba.

Huu mfumo ni mzuri sn lkn unaitaji sn Team Work. Na ndio maana mtu akilegea tu lazima uone pengo!

Huu mfumo ni sawa na mfumo Wa 4 3 3. Ni mfumo Wa Ushindi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom