Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu mbona unanikuu vibaya,mimi ni Spain kaka,ila naongea kiukweli England nazotambua zina rekodi ktk makombe yanayojulikana ni Man Utd na Liverpool,hizi zingine zimechipukia,hata kesho Bashir Tofa akinunua Swindon basi nayo washabiki itakuwa nao wengi,lakini ukizungumzia ktk wenye rekodi hawatambuliki.

Hapakufai hapa! Cha zaidi utaambulia matus.i
 
jumapil ijayo tuna mechi nyepesi sn na vibonde man u. ngoja tuwapige tuendelee kujiweka pazuri. beki yao itakuwa na kazi ngum sn kumzuia hazard ambaye yupo form vibaya

Man Utd kwa big game wanakaza sn! Ingawa Ushindi ni lazima!
 
Man Utd kwa big game wanakaza sn! Ingawa Ushindi ni lazima!

Aisee man utd tunaeza kumpiga ata vitano. Hiyo ndo siku sitaumia Mata asipopangwa. Apangwe game ya Man city labda. Hazard-Oscar-Willian; Torres.

Lazima wakaeeeeeee...
 
Aisee man utd tunaeza kumpiga ata vitano. Hiyo ndo siku sitaumia Mata asipopangwa. Apangwe game ya Man city labda. Hazard-Oscar-Willian; Torres.

Lazima wakaeeeeeee...

Ninachojua ni kwamba kwa sasaivi Mourinho atahakikisha kila game anashinda ili nafasi ya point isiwe kubwa sn ktk timu zinazo ongoza na zinazogombania ubingwa! Kwa maana hiyo basi kila game lazima kuwepo umuhimu Wa kushinda!

Hiyo game mkakati Wa kushinda unapangwa lkn Man Utd sio Wa kubeza. Lazima tushinde lkn sio kirahisi!
 
Mkuu unaniudhi jambo moja tu! husomi hoja zote nilizoandika. Nilishasema sisi tuna rekodi nzuri kuliko timu yoyote ya Uingereza tunapocheza na Barcelona. Hata kama wao walitufunga 5-1, isis tukawafunga 4-2(kwetu), mechi ya kwanza tulicheza kwao tukawafunga(2-1) kwa mechi mbili aggregate ikawa 6-3. Je, Man Utd, Liverpool au Arsenal zimewahi kumfanya hivyo Barcelona? soma kwanza kabla ya kujibu. Kuna wengine wataelimika kwa hoja zako siyo kubishana tuu bia sababu.
toka karne hii yaani 2000,ni timu 2 Liverpool na Man Utd hazijawahi kufungwa na Barcelona Nou Camp,na Liverpool imeshashinda Nou Camp,kitu ambacho Chelsea haijawahi kushinda vs Barcelona Nou Camp,ila wao wameshafungwa na Barca pal Darajani,kwa taarifa yako.
 
Chelsea imewahi kuifunga Barcelona pale Camp Nou goli 2-1 kisha tukaja kuwafunga goli 4-2 pale darajani, weka sawa rekodi zako mwana.
 
Hoja ni kwamba sisi ni kiboko ya Barcelona
toka karne hii yaani 2000,ni timu 2 Liverpool na Man Utd hazijawahi kufungwa na Barcelona Nou Camp,na Liverpool imeshashinda Nou Camp,kitu ambacho Chelsea haijawahi kushinda vs Barcelona Nou Camp,ila wao wameshafungwa na Barca pal Darajani,kwa taarifa yako.
 
Wenzangu wa Chelsea, Petr Cech ameweka rekodi mpya kwenye klabu ya Chelsea. Juzi jumamosi amecheza mechi ya 209 bila kufungwa. Hiyo inamaahisha pia kwenye PREMIER LEAGUE amefikisha mechi 150 bila kufungwa, anayeongoza kwenye PREMIER LEAUGUE kwa kucheza mechi nyingi bila kufungwa ni DAVID JAMES 169, ..hata hivyo ndani ya klabu Petr Cech ndo kipo bora wa wakati wote.
 
Uwe na adabu hata kama hatujuani. Umri wangu wa ushabiki unatosha kuwa na rekodi za kutosha:Nimekuwa mshabiki wa Chelsea tangu wakati wa Glenn Hoddle; kama wewe ni shabiki wa la liga kwa nini uumize kichwa kwenye thread yetu?Inaonekana unatushabikia: Itajulikana tu twendelee na safari.
acha uongo kaka nenda hapa
2004
na pia cheki hapa usidanganye wa2 wenye rekodi
UEFA Champions League 2004/05 - History - Barcelona-Chelsea ? UEFA.com
na marudiano UEFA Champions League 2004/05 - History - Chelsea-Barcelona ? UEFA.com
nina ulakini na ushabiki wako chelsea Abramovich utakuwa.
 
Mtasema sana: Haihitaji akili nyingi kushabiki Man utd; kwa sababu ni bingwa mara 20 wa England; inahitaji uwe mtu wa mpira tena uwe na akili za kutosha kuwa shabiki wa Chelsea; Blue is the color, Chelsea is the name; Victory is our aim: Yes, We are the Champions:
mnajidanganya
 
...and we KTBFFH.

Walie tu..
 
timu zao zinayumba wanakuja kujifariji humu; hoja za maana hawaweki kelele tupu!
tutawajua sana mwaka huu; jumapili siyo mbali; Willian-Oscar-Hazard-Torres kule mbele! Mtakuja kuniambia; tutawaadhiri hawa watu vibaya-vibaya!

Tatizo umezidi unazi, unazi wako unasababisha hadi ujaribu kudanganya watu hapa JF
STATISTICS NEVER LIE BUT LIAR USE STATISTICS
 
Statistics hazichezi uwanjani, lakini kumbuka Chelsea 5- 0 Man Utd the year 1999. Remember also Chelsea 5 - 4 Man Utd(Capitol one cup last season); muda si mrefu nilikuwa natazama ile gemu tuliyowachapa Man Utd(timu ya Belo) goli 5-0! Jumapili si mbali; tutaheshimiana vizuri sana tu.:hungry:
Tatizo umezidi unazi, unazi wako unasababisha hadi ujaribu kudanganya watu hapa JF
STATISTICS NEVER LIE BUT LIAR USE STATISTICS
 
Kila Man Utd wanapojitahidi kusogea mbele inashindikana; mkishinda wenzenu pia wanashinda; hadi sasa bado mko palepale kwenye #7, asanteni sana kwa kutupunguzia makelele mtaani:
 
Statistics hazichezi uwanjani, lakini kumbuka Chelsea 5- 0 Man Utd the year 1999. Remember also Chelsea 5 - 4 Man Utd(Capitol one cup last season); muda si mrefu nilikuwa natazama ile gemu tuliyowachapa Man Utd(timu ya Belo) goli 5-0! Jumapili si mbali; tutaheshimiana vizuri sana tu.:hungry:
Ukitaja mwaka 1999 nakumbuka treble (UEFA Champions League +English Premier League +FA Cup).Mourinho ni too defensive sio rahisi kumfunga Man United goli tano,nafikiri unakumbuka game ya kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom