Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Chelsea ni kama jogoo la shamba,haliwezi kuwika canet de mar,linyola,arenys de mar,la pobla de segur,terrassa,sabadell wala samasotro.
Chelsea ni kama jogoo la shamba,haliwezi kuwika canet de mar,linyola,arenys de mar,la pobla de segur,terrassa,sabadell wala samasotro.
Ujio wa Nemanja Matic nadhani Luiz anaonyeshewa mlango wa kutokea!
Ntuzu ila anaweza akasugua sana bench,kwakuwa alikuwa anapata ahueni ya kucheza kama kiungo,sasa kaja kiungo halisi,nadhani italeta shida kwakeHapana Luiz hawezi kuuzwa Mkuu!
Ntuzu ila anaweza akasugua sana bench,kwakuwa alikuwa anapata ahueni ya kucheza kama kiungo,sasa kaja kiungo halisi,nadhani italeta shida kwake
Wakuu wangu mie kama kawaida; kazi zangu ni za kompyuta, nitajitahidi kila siku asubuhi, mchana na jioni nitupie vitu; si mmekuta angalua jukwaa limechangamka ingawa nilikuwa nasumbuana na watani zetu wanaotaka kuchafua jukwaa letu?
Ntuzu; nimekupata kweli tukimpumzishan Oscar kipindi cha kwanza akaingia cha pili, Man Utd tutawafunga kwa urahisi sana. Oscar akiingia Man Utd watakuwa wametepeta; kumbuka mechi ya madogo Southampton alicheza dakika 37 tu tukashinda goli 3; Mtoto Oscar huyu balaa sana huyu.
Nilikuwa naangalia first interview ya Matic,anasema ana uwezo hata wa kucheza jumapili