Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wadau, Chelsea imewahi kuwa na makapteni wengi tangu ianzishwe mwaka 1905. Lakini makapteni wenye mafanikio zaidi katika historia ya timu hii ni:
1. John Terry (2005-hadi sasa) = chini ya ukapteni wake timu imechukua mataji 13.
2. Dennis Wise(alikuwa anavaa # 11) tulichukua mataji kadhaa enzi za ukapteni wake 1997-2000.
Yes, We are the Champions::hungry:
 
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri. Kama una hoja ya maana kujadili lete jamvini. kma huna kuna jukwaa la "jokes" unaweza kwenda kuchangia kule. Kama wewe si Chelsea ya nini uumie kujibizana kwenye thread ya wengine?
Kwa hiyo ipi kubwa hapo?
 
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri. Kama una hoja ya maana kujadili lete jamvini. kma huna kuna jukwaa la "jokes" unaweza kwenda kuchangia kule. Kama wewe si Chelsea ya nini uumie kujibizana kwenye thread ya wengine?

Mkuu hapa si tunaongelea fact lakini?!
We unataka kutuaminisha kuwa matokeo yenu ya 4-2 ni best kuliko 5-1 alizowafunga yeye...
 
Mkuu unaniudhi jambo moja tu! husomi hoja zote nilizoandika. Nilishasema sisi tuna rekodi nzuri kuliko timu yoyote ya Uingereza tunapocheza na Barcelona. Hata kama wao walitufunga 5-1, isis tukawafunga 4-2(kwetu), mechi ya kwanza tulicheza kwao tukawafunga(2-1) kwa mechi mbili aggregate ikawa 6-3. Je, Man Utd, Liverpool au Arsenal zimewahi kumfanya hivyo Barcelona? soma kwanza kabla ya kujibu. Kuna wengine wataelimika kwa hoja zako siyo kubishana tuu bia sababu.

Poa nimekuelewa!
 
Kwa kuwa Sisi mashabiki wa Hull City hatuna jukwaa,Ngoja tuangalie Mpira tokea Jukwaa hili...
 
Mbona unazungumza kwa jazba na kashfa? Wewe ndo umeyafuta kwenye takwimu zako. Nenda UEFA.com tafuta habari za Chelsea FC utapata. Kila mtu ana hiari ya kushabikia apendacho au vipi? Jenga hoja kuliko kuleta dharau. Man Utd imefungwa na Barcelona mara ngapi?
Good,na sidhani kama wakati huu wa 1992 wewe kweli ulikuwa mshabiki wa chelsea au na wewe labda ni miongoni mwa 99.9% ya mashabiki waliokuja chelsea baada ya Abramovich kuchukua timu,ila sijui nafsi yako inajijibu yenyewe.
 
Kama hivyo ni kweli: Basi Manchester united kachukua UCL =2 (1999 na 2008)
Chelsea Fc = 1(2012)
Liverpool Fc = 1(2005)
Kwa sababu UCL imeanza 1992, kama unadharau Winners Cup; sasa twende sawa huna la kujidai. Sisi tulichukua Winners cup 1998. Lakini kwa sababu hakuna haimaanishi hatukuchukua.
Mkuu mbona unanikuu vibaya,mimi ni Spain kaka,ila naongea kiukweli England nazotambua zina rekodi ktk makombe yanayojulikana ni Man Utd na Liverpool,hizi zingine zimechipukia,hata kesho Bashir Tofa akinunua Swindon basi nayo washabiki itakuwa nao wengi,lakini ukizungumzia ktk wenye rekodi hawatambuliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom