Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

@FabrizioRomano

Enzo Fernández deal update. Chelsea and Benfica spent the whole night in negotiations — but there’s still no full agreement on key details, still waiting for Rui Costa’s. Talks will continue on Wednesday. The player wants the move, but he’s now waiting too.

Hapi lazima key details agreement ambayo bado kukubaliana ni kwenye namna ya malipo. Structure ya kulipa kwa installments Benefica hawataki
 
Huyu kocha hapa tumepigwa jamani, aaaaaah aiseeeeeView attachment 2468144
From the club legend
Screenshot_20230104-092936_Twitter.jpg
 
hakuna kocha hapa lembu, tuache kupamba kwenye hamna.
Kama ni kumfukuza GP tumchukue Conte ameanzisha ugomvi na uongozi wa Spurs kwa sababu ya usajili
Conte ndie kocha pekee anayeweza kudemand performance ya hali ya juu kwa hawa wachezaji tulionao na hao tunaowasajili

Pia Conte anaweza kudemand mamlaka zaidi kwenye usajili wa wachezaji
 
Potter aanze kuwa ruthless. Ten Hag,Arteta hawa wote wako ruthless. If anataka kufanikiwa Chelsea asiangalie majina, kama mtu hakupi performanc unayotaka weka njee
 
Potter aanze kuwa ruthless. Ten Hag,Arteta hawa wote wako ruthless. If anataka kufanikiwa Chelsea asiangalie majina, kama mtu hakupi performanc unayotaka weka njee
Hicho ndicho anachokosa GP na kwa mfumo wa ligi inavyokwenda sasa, kocha ambaye sio ruthless kwa wachezaji wanamzoea kama mjomba
 
Chelsea tangu jana tuko no. 10
Harufu ya kumtimua kocha ni kama inakaribia
 
Si mlisema hawezi kufukuzwa
Hatukusema hawezi kufukuzwa, kuna conditions tajiri aliziweka ambazo sio ngumu sana
Alisema
  1. Asipomaliza top 4 na timu ikafanya vizuri kwenye UEFA angalau hadi robo fainali - atabaki
  2. Asipofanya vizuri kwenye UEFA na akamaliza top 4 atabaki
  3. Akimaliza hata kwenye Europa league bado atabaki
  4. Ila huku kwenye mid table au mkiani au timu ikaribie kushuka daraja hakuna kenge atakayemvumilia. GET THAT POINT BOBY
 
Nimemcheki Mykhailo ambao Arteta anamtaka yuko vizuri sana
  1. Anakaa na mpira sana
  2. Ana stamina
  3. Aanajua cha kufanyia mpira
  4. ni mfungaji mzuri
  5. ni mtoaji mzuri wa assists
  6. ana mbio
  7. pace kubwa
We fikiria Chelsea tukam hijack aje darajani halafu line up ikawa hivi kule mbele

------------------Datro Fofana------------------------

Mudryk -----------------Nkunku ---------------- Sterling

AU

------------------Datro Fofana------------------------

Mudryk -----------------Mason Mount ---------------- Nkunku
 
Leicester city walimnunua Kante kwa Euro mil 8 2015 akwapa EPL title
Chelsea wakamnunua Abdulrahman Baba kwa Euro mil 26 wakaishia nafasi ya 10 kwenye ligi
Poor scouting team poor signings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom