Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anacholeta Enzo darajani hiki hapa
Angala position anazo cheza na percentage wise ability yake

1672745705681.png
 
Nyie mnatakiwa mpigwe ban ya kusajili ndio hawa watoto wenu watapata nafasi, bila ban ya kipind kile , Kina James ,Tammy, Mount, nk wasingejulikana

Nilishangaa Sana maskauti wetu wanamtaka Levi cowill hapo hajacheza hata EPL mechi moja , baadae mkampeleka Brighton loan , anakiwasha balaa ,Cha ajabu mnaingia sokon mnasajili wachezaji wanafasi ile ile
Shida tunakutana na injuries nyingi ndio maana tunatanua kikosi
 
Anacholeta Enzo darajani hiki hapa
Angala position anazo cheza na percentage wise ability yake

View attachment 2467810
Gary Neville anasema mmepigwa , anasahau man u Kuna biashara kichaa kafanya zakutosha

Mimi kwa huyu Enzo, Sina neno, nilikuwa timu Argentina ,mech ya Kwanza wakaniudhi Viungo wagumu, wanajificha juu ya back 4, nikahamia Spain, kuanzia mechi ya 2, Scallon akampiga bench parades akampa huyu dogo Enzo, nafasi, Ndiye kakamatia Dimba juu ya back 4 anachukua mipira anasambaza vzr,

De Paul akabaki mkabaji tu, dogo Ni press resistant, passing yupo njema ,

Anacheza vzr ile no.6 ya kisasa, Kuna mjadala uliibuka itakuwaje Wakiwa timu moja na Frenkie De jong, maana uchezaji wao unafanana ,

Kilichonivutia ,mechi ngumu alizimudu, tofauti na yule muingereza Bellingham (overrated)

Screenshot_20230103-131455~2.jpg
 
View attachment 2468015
Naona Shakhtar wanatumia sisi ili muwape pesa watakayoridhika nayo kwa Mudryk.
 
Hapo mdau kampiga na kitu kizito
 
Naona Shakhtar wanatumia sisi ili muwape pesa watakayoridhika nayo kwa Mudryk.
Paundi 62M ya AFC imekataliwa na Chelsea wameanza mazungumzo ya kumsajili Mykhaylo Mudryk
Arsenal wamesusa kuendelea na mazungumzo
 
Nahisi hii kama kuwapush Arsenal tu, walipe hela Shakhtar wanayotaka.

Stak kuamini tukoserious kwa Mudryk, kwa kiasi wqnachotaka Shakhatar hatuwez kutoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom