Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi ndo wenye London kwa sababu hawa wote wamebaki kushangilia UCL kwa wengine..sisi tumechukua; hawa wote wadogo zetu:
-Arsenal-Spurs-QPR-Bolton-Westham-Fulham-C.Palace etc.
Kuhusu nje ya Uingereza tafuta takwimu za Man Utd vs timu za La Liga kwanza alafu tutaongea.
tunaonge ya epl ya laliga tanatoka wapi ???? kama kigezo chako ili kuw pride of somewhere basi liver ni pride of engalnd then tunafuata red devils
 
tunaangalia mafanikio tuna makombe ya ulaya 3 na mamkombe ya ligi 20,nitajie timu yako imetuzidi makombe gani hapo???

Hakuna aliyewazidi kwenye ligi Man Utd = 20, Liverpool 18, safi sana..kutaja la liga maana yangu ni kwamba nyinyi mmefungwa sana na timu za Hispania kuliko sisi.
 
CHELSEA FC
-UCL = 1
-EUROPA LEAGUE = 1
-WINNERS CUP = 1
*Chelsea ndiyo timu pekee ya Uingereza iliyowahi kuchukua makombe hayo yote. Sisi pia tunaheshima kubwa Ulaya kama tu Man Utd na Liverpool bila kuwasahau Nottingham Forest(ambao wamechukua mataji mawili ya Ulaya, enzi za zamani)
 
bila kusahau Premier League.

Miaka ya nyuma mlikuwa vibonde Champs league mlikuwa mnaisikia, mmecheza game chache sana na timu za Spain ukilinganisha na Man United.Unakumbuka mlivyofungwa goli 5 na Barca ya kina Figo
 
Nakumbuka: Waulize pia wao tulipowachapa bakora 4-2 pale darajani. Pia waulize tulivyowatandika na kuwatoa kwenye nusu fainali tukielekea kwenye ubingwa: Nimeweka takwimu za Barca vs Chelsea kule; Chelsea Fc thread katazame.

tumefika fainali mara nyingi na barcelona iliyokuwa katika ubora wake,messi alikuwa hashikiki unategemea nini hapo????
 
Sisi Chelsea Fc ni timu pekee ya Uingereza ambayo Lionel Messi hajawahi kufunga hata goli moja, chezeya Chelsea wewe! Sisi tunawatandika Barcelona popote.
tumefika fainali mara nyingi na barcelona iliyokuwa katika ubora wake,messi alikuwa hashikiki unategemea nini hapo????
 
Nakumbuka: Waulize pia wao tulipowachapa bakora 4-2 pale darajani. Pia waulize tulivyowatandika na kuwatoa kwenye nusu fainali tukielekea kwenye ubingwa: Nimeweka takwimu za Barca vs Chelsea kule; Chelsea Fc thread katazame.

5 na 4 zinafanana?
 
Hazifanani lakini zinakaribiana!
La muhimu ni kwamba Chelsea Fc imemfunga Barcelona kwenye CHAMPIONS LEAGUE kuliko Man Utd na Arsenal. Ukweli unauma.

Mwanzo umesema timu za Spain now umehamia kwa Barca,Messi kutoifunga Barca sio issue kuna timu nyingine ni vibonde still Messi hajazifunga.Mmewafunga Barca mara nyingi but Barca amekuwa,na bingwa mara 4 while nyie mara 1na ukumbuke Man United amechukua kombe kwa kuifunga Chelsea
 
Unakubali kimya kimpya: Mwaka huu itaeleweka tu;

Kiboko yenu Falcao na Atletico Madrid,au mmesahau?Barca usiongee,maana Rivaldo aliapa mlipowapiga 3-1 darajani 2000(sidhani kama unakumbuka)kuwa chelsea ikimtoa Barca anatundika madaluga na akaahadi kufunga na akawafunga,nyie bado msilingie UCL 1 mliyokuwa nayo na kujitapa na nyie vidume,nyie bado sana hamjafikia saizi ya Man Utd na Liverpool kwa England,mimi ni spain damu ila England najua timu zenye rekodi za kimataifa ni 2 man Utd na Liverpool,achana na rekodi zako sijui winners cup,liko wapi hilo kombe wameyafuta makombe ya kwenda kuchuana Wigan,Levante,Limasol,Drinpro sijui,unakuja na kelele nyingi.
 
Sisi ndo wenye London kwa sababu hawa wote wamebaki kushangilia UCL kwa wengine..sisi tumechukua; hawa wote wadogo zetu:
-Arsenal-Spurs-QPR-Bolton-Westham-Fulham-C.Palace etc.
Kuhusu nje ya Uingereza tafuta takwimu za Man Utd vs timu za La Liga kwanza alafu tutaongea.

Just kuweka rekodi sawa, Bolton wanatoka Bolton, Greater Manchester.
 
Mbona unazungumza kwa jazba na kashfa? Wewe ndo umeyafuta kwenye takwimu zako. Nenda UEFA.com tafuta habari za Chelsea FC utapata. Kila mtu ana hiari ya kushabikia apendacho au vipi? Jenga hoja kuliko kuleta dharau. Man Utd imefungwa na Barcelona mara ngapi?
Kiboko yenu Falcao na Atletico Madrid,au mmesahau?Barca usiongee,maana Rivaldo aliapa mlipowapiga 3-1 darajani 2000(sidhani kama unakumbuka)kuwa chelsea ikimtoa Barca anatundika madaluga na akaahadi kufunga na akawafunga,nyie bado msilingie UCL 1 mliyokuwa nayo na kujitapa na nyie vidume,nyie bado sana hamjafikia saizi ya Man Utd na Liverpool kwa England,mimi ni spain damu ila England najua timu zenye rekodi za kimataifa ni 2 man Utd na Liverpool,achana na rekodi zako sijui winners cup,liko wapi hilo kombe wameyafuta makombe ya kwenda kuchuana Wigan,Levante,Limasol,Drinpro sijui,unakuja na kelele nyingi.
 
Kama hivyo ni kweli: Basi Manchester united kachukua UCL =2 (1999 na 2008)
Chelsea Fc = 1(2012)
Liverpool Fc = 1(2005)
Kwa sababu UCL imeanza 1992, kama unadharau Winners Cup; sasa twende sawa huna la kujidai. Sisi tulichukua Winners cup 1998. Lakini kwa sababu hakuna haimaanishi hatukuchukua.
Kiboko yenu Falcao na Atletico Madrid,au mmesahau?Barca usiongee,maana Rivaldo aliapa mlipowapiga 3-1 darajani 2000(sidhani kama unakumbuka)kuwa chelsea ikimtoa Barca anatundika madaluga na akaahadi kufunga na akawafunga,nyie bado msilingie UCL 1 mliyokuwa nayo na kujitapa na nyie vidume,nyie bado sana hamjafikia saizi ya Man Utd na Liverpool kwa England,mimi ni spain damu ila England najua timu zenye rekodi za kimataifa ni 2 man Utd na Liverpool,achana na rekodi zako sijui winners cup,liko wapi hilo kombe wameyafuta makombe ya kwenda kuchuana Wigan,Levante,Limasol,Drinpro sijui,unakuja na kelele nyingi.
 
Mashabiki wa Chelsea, orodha ya makocha wetu wa Chelsea tangu 1993:
1. Glenn Hoddle = 93-96.
2. Ruud Gullit =96-98.
3. Gianluca Vialli=98-2000.

4. Graham Rix = 2000.
5. Claudio Ranieri=2000-2004.
6. Jose Mourinho 2004-2007.
7. Avram Grant =2007-2008.
8. Luiz Felipe Scolari=2008-2009.
9. Ray Wilkins = 2009(alikuwa kocha mkuu mechi 1tu)
10. Guus Hiddink =2009.
11. Carlo Ancelotti=2009-2011.
12. AVB =2011.
13. Roberto Di Matteo =2012.
14. Rafael Benitez =2012-2013.
15. Jose Mourinho = 2013-hadi sasa.
 
Gianluca Vialli alitwaa kombe la Europian Winners Cup(kombe la washindi) mwaka 1998.
Ruud Gullilt alitwaa FA Cup 1997 pale Old Wembley magoli ya Di Matteo na Eddie Newton.
Claudio Ranieri # 2 kwenye ligi.
Jose Mourinho ubingwa PL mara 2, Fa cup, Carling cup,
Avram Grant fainali ya UCL 2008.
Guus Hiddink nusu fainali ya UCL 2009.
Carlo Ancelotti alitwaa ubingwa wa ligi kuu na FA cup.
Roberto Di Matteo = UCL
Rafa Benitez = Ueropa Cup.

Kesho tunacheza na vijana wa Hully City saa 9:45(mchana) kwa saa za hapa nyumbani. Mechi ya kwanza tulicheza nao darajani tukawafunga 2-0 magoli ya Oscar(#11), na Frank Lampard(#8); Kesho ni siku ya kuongoza ligi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom