Kwahiyo sasa hivi anaaminiwa kuanza kwenye first elevenNacheki mpira hapa Chelsea vs PSG
Lauren James ni right back kama kaka yake na anashusha majalo, kafunga goli zake mbili ya kwanza ya UEFA kwenye jezi ya Chelsea
Chelsea 3; PSG 0
View attachment 2455142