Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wako serious na Badiashile. Wako kwenye advance talk. Naona huyu ni beki mzuri zaidi ya Gvardiol kwenye kukaba ila yule Gvardiol anamzidi kwenye kucheza hasa passing.

Uzuri wa Badiashile ni bei, paundi 35m vs paundi 100+m ya Gvardiol
 
Chelsea wako serious na Badiashile. Wako kwenye advance talk.
Naona hiyu ni beki mzuri zaidi ya Gvardiol kwenye kukaba ila yule Gvardiol anamzidi kwenye kucheza hasa passing

Naona ss tunasajili wachezaji anagalau wanatia hamasa ila hawa wa mapesa mengi kwa Chelsea hakuna kitu huwa wanafeli sana
 
Hii timu inasajili mabeki tu [emoji1787][emoji1787] wanadhani ndio dawa
IMG_20221222_093940.jpg
 
Nyie mburukenge Cheltako karibuni emirates leo muone bingwa anavyompasua mtu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

COYG[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]

ALWAYS LONDON IS RED[emoji837]
 
Wewe shabiki wa ajabu sana
Ukapimwe mkojo
Datro ni beki?
Nkunku ni beki?
Wale wa msimu uliopita ni mabeki?
Auba ni beki?
Sterling ni beki?
Cesare ni beki?
Carney ni beki?
Omari ni beki?
Sasa stering si anawakaba wenyewe mkicheza kama mpo pungufu uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chelsea wako serious na Badiashile. Wako kwenye advance talk.
Naona hiyu ni beki mzuri zaidi ya Gvardiol kwenye kukaba ila yule Gvardiol anamzidi kwenye kucheza hasa passing
Uzuri wa Badiashile ni bei, paundi 35m vs paundi 100+m ya Gvardiol
Sababu pekee inayotufanya tusibid 100M kwa Gvardiol ni kupriotise maeneo mengine ya umuhim hasa hasa kiungo
 
If January priority yetu ikiwa ni Cb na Striker,hii inamaana Summer tutajikita zaidi katika upande wa kiungo na kutafuta cover wa James

Based na report ya leo ya Samuel Johnson wa The Athletic, tunategemea kusajil atleast 3 player wa 1st team, either kwa mkopo au Permanent,

Victor Roque kutoka brazil anamiaka 17yrs ni mmoja ya wachezaj tunaowaania. NI mmoja kati ya wachezaj watatu bora kule Brazil.

Source-The Athletic-Samuel Johnson

Usajil wa Edsom Alvarez kutoka Ajax utategemea na recruitment team kama watakubal asajiliwe au lah. Source- Jacob Ben
 
Chelsea wahusishwa na deal la mkopo la kumchukua João Felix

[emoji599] Todd Boehly is believed to be willing to move swiftly for a deal. Felix would compete as a left-sided forward who can also play on the right, with Kai Havertz in the frame to play as a central forward.

[via Mike McGrath-Telegraph]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wewe shabiki wa ajabu sana
Ukapimwe mkojo
Datro ni beki?
Nkunku ni beki?
Wale wa msimu uliopita ni mabeki?
Auba ni beki?
Sterling ni beki?
Cesare ni beki?
Carney ni beki?
Omari ni beki?
Wewe jamaa akili zako fupi ,Sasa hao uliowataja hapo yupi ana msaada ,? Kama nkuku had 2023 June , hao wengine wanacheza academy, wengine flop

Kwa akili yako mmemsajili datro aongoze mashambulizi EPL?

Hao mabeki asilimia kubwa mnaowasajili ndio wanacheza

Ndio maana summer mmetumia €300m ,ila unaweza ukaona Kama Ni uzushi, kumbe Ni kweli, maana sajili kibao Ni za malengo ya 2030 ,na wengine kina Sterling ,auba flops
 
So hao hatukuwasajili kwa sababu hoja yako ilikuwa usajili? Basi hoja yako kama ni kuwa na msaada kwenye timu kafafanue hoja yako ya msingi kama una akili hata ndogo.

Kwa sababu ninyio Arsenyeto ni wabishi na kila wakati mna milango ya kutorokea mada
 
Chelsea wahusishwa na deal la mkopo la kumchukua João Felix

[emoji599] Todd Boehly is believed to be willing to move swiftly for a deal. Felix would compete as a left-sided forward who can also play on the right, with Kai Havertz in the frame to play as a central forward.

[via Mike McGrath-Telegraph]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ila huyo Joao Felix ni kama akina havertz tu. Wanadaiwa wana talent nyingi lakini hazionekani uwanjani
 
Mifumo wanayokutana nayo ndio shida.

Felix, havertz kwa mpira wa Arsenal wanaperfom vizuri tu
 
So hao hatukuwasajili kwa sababu hoja yako ilikuwa usajili??
Basi hoja yako kama ni kuwa na msaada kwenye timu kafafanue hoja yako ya msingi kama una akili hata ndogo
Kwa sababu ninyio Arsenyeto ni wabishi na kila wakati mna milango ya kutorokea mada
Kenge hata umpige hawez kusikia

Endelea kujifariji
 
Mifumo wanayokutana nayo ndio shida.

Felix, havertz kwa mpira wa Arsenal wanaperfom vizuri tu
Kinachonishangaza mbona kina Felix mnao hapo hapo , Mount, Havertz ,mkimuongeza Felix ataingia kwenye mifumo hiyo hiyo ya kina Kai
 
Ila huyo Joao Felix ni kama akina havertz tu. Wanadaiwa wana talent nyingi lakini hazionekani uwanjani
Felix anajulikana Ni moja ya Talent nzuri Duniani, move yake ya kwenda Atletico timu ambayo approach ya Kwanza Ni kujilinda
 
Mkuu vipi swala la kutoa €65M kwa Mudryk ni sawa, anastahili hilo dau?? Au amekuwq overpriced
Tena hapo Ni Sababu bosi wa Arsenal Ni mpale ,

Shakhtar wanataka €100m bila maelezo, wanasema Ni moja ya talent katika Ukraine ,wanasema waamini miaka miwili atakuwa world class

Wakaenda mbali wakasema Kama Grealish , Anthony wameuzwa kwa €100m , why wao wamuuze Bei ya chini, Summer waligomea €50m ya Everton ,

Kwahiyo kwa €60-65m tutakuwa tumepambana Sana kuwashusha
 
Ukiachana na hayo yote je anastahil hilo dau???
 
Wewe jamaa akili zako fupi ,Sasa hao uliowataja hapo yupi ana msaada ,? Kama nkuku had 2023 June , hao wengine wanacheza academy, wengine flop

Kwa akili yako mmemsajili datro aongoze mashambulizi EPL?

Hao mabeki asilimia kubwa mnaowasajili ndio wanacheza

Ndio maana summer mmetumia €300m ,ila unaweza ukaona Kama Ni uzushi, kumbe Ni kweli, maana sajili kibao Ni za malengo ya 2030 ,na wengine kina Sterling ,auba flops
Datro anaweza akatumika km mbadala WA broja pia kipindi hiki akiwa amekosekana.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom