Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mizoga ya Mburkenge haitakiwi kuachwa hivihivi, hua inasababisha maradhi ya mlipuko ndio maana tunatumia nguvu nyingi kuiteketeza kabla haijaleta athari kubwa kwenye jamii.
Na hao inzi kutoka lile dumpo maarufu ndio wanaosambaza magonjwa. Inzi mdudu mbaya sana
Kenge wana faida
Fisi wana faida
Konokono wana faida
Ndege mwarabu ana faida
Niambie faida moja ya Inzi
Hasar yake ni nuksi ya magonjwa tu
 
Ila fanbase yetu sometymz naonaga huwa ya ajabu Tu[emoji23]...sasa we kweli serious unasema tunasajili bila matakwa ya kocha ..si msimu huu kuna wachezaji wametakiwa na Tuchel ambao ndo matakwa ya kocha na wakaishia kuikacha timu na kuenda timu nyingine.... Nazungumzia kina richarlison, raphina , dembele, de ligt na wengineo na tukaishia Tu kusajili mostly second choices..Leo unasema project uchwara ya viongozi bila matakwa ya kocha[emoji23] [emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Fan base ya hii tim yetu huwa sielewi yani haijui inataka nini, kuna mambo watu wako kama vinyonga vile
 
.
20221202_104504.jpg
 
Chelsea players in round of 16 WC.

Thiago Silva
Kalidou Koulibaly
Eduado Mendy
Ceaser Azplicueta
Mateo Kovacic
Christian Pulisic
Raheem Sterling
Mason Mount
Conor Galagher
Hakim Ziyech

Nani atafika Fainali?
 
A
Chelsea players in round of 16 WC.

Thiago Silva
Kalidou Koulibaly
Eduado Mendy
Ceaser Azplicueta
Mateo Kovacic
Christian Pulisic
Raheem Sterling
Mason Mount
Conor Galagher
Hakim Ziyech

Nani atafika Fainali?
Azplicueta
 
Chelsea players in round of 16 WC.

Thiago Silva
Kalidou Koulibaly
Eduado Mendy
Ceaser Azplicueta
Mateo Kovacic
Christian Pulisic
Raheem Sterling
Mason Mount
Conor Galagher
Hakim Ziyech

Nani atafika Fainali?
They were 12 and now 10 only 2 dropped. Very good indicator
 
Solution ni tambiko chief.

Wazee walisema uzikwe mguu wa mchezaji. Lukaku alivyoumia Madaktari wakapendekeza akatwe mguu.

Ndio chanzo cha Lukaku kufanya press kwamba anajuta kuondoka inter Milan na kuanza kushinikiza kuondoka darajani.
Duuh dunia ina mengi
 
Nawaona marafiki zangu wanaocheza Championship wakishinda makombe makubwa. Unapewa nafasi moja tu ya taaluma yako ya mpira na mwisho wa taaluma yako utahitaji kuona ulichoshinda

Declan Rice anatarajiwa kuondoka Westham 2023

Nyongeza
Wakala wa Rice anataka mkataba wake mpya uwe na release clause ya £60m huku uongozi wa Westham ukiamini kuwa Declan Rice ana dhamani ya zaidi ya £100m


1670075721445.png
 
Chelsea Hawa wachezaji mliopeleka world cup Nusu wanarudi injury

Mtatafutana humu
Bahati nzuri mpaka sahv hamna mchezaji kutoka chelsea aliyepata injury kubwa...Ila mchezaji wako Gabriel Jesus ndo kapata injury ya goti hvyo hatoendelea katika mashindano haya ya WC.. ndo utaamini uchawi na husda zako ni vitu vibaya Sana[emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom